Duniani tunaishi muda mfupi sana

Duniani tunaishi muda mfupi sana

Hizo siku ni chache ndugu? Kufanya mema ni hulka ya binadamu mwenye akili timam, wala hauhitaji vitisho ndiyo uwe mwema!

Vitisho vipi? Je, kuna kitisho chochote nilichokisema hapo juu?? tiririka please!!
 
Na asilimia 60 (60%) ya Watanzania hawajaishi hata siku 10,000. Life is short indeed comrades, tutendeane vyema.
 
Kama mwandishi wa kitabu cha Ayubu anavyo twambia

Ayubu 14:1-2.

1.Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamkeSiku zake za kuishi si nyingi, naye hujaa taabu.
2. Yeye huchanua kama vile ua, kisha hukatwa;Hukimbia kama kivuli, wala hakai kamwe.
 
kabisa
 
  • Thanks
Reactions: a45
Habari,
Je unajua kwamba duniani tunaishi muda mfupi sana? fikiria hivi, mwaka mmoja ni siku 365, miaka 10 ni siku 3650 na miaka 100 ni siku 36,500 tu...

Kama miaka 100 ni siku elfu thelathini na sita na mia tano, na wengi wetu hatutofika umri huo, hii ina maana kwamba wengi wetu humu hatutoishi siku 36,500.

Huu ndio ukweli,

Duniani ni sehemu ya kuishi muda mfupi sana hivyo tujitahidi kufanya mambo mema ya kumpendeza Mwenyezi Mungu.

Ahsante...
Halafu pia tambua kuwa, iwapo unalala saa 4 usiku na kuamka saa 12 asubuhi ujue hayo ni masaa 8 kwa hiyo katika siku yenye masaa 24 masaa 8 unakuwa umelala , hiyo ni theluthi moja (1/3) hivyo iwapo utaishi kwa miaka 60 inakubidi utambue kuwa 1/3 ya muda huo utakuwa umelala na hivyo hauzalishi chochote . Ukikokotoa hapo unapata miaka 20 ambayo utakuwa umelala, kuna pia miaka 5 ya awali ukiwa mtoto mdogo na miaka 5 mwishoni unapokuwa umechoka, ukujumlisha yote unapata miaka 30 ambayo hauzalishi chochote.
Kwa mantiki hiyo ina maana unakuwa umebakiwa na miaka 30 ambayo uitumie kusoma, kufanya kazi , kuoa/kuolewa na shughuli nyingine zote, kumbuka pia kuna kipindi utakuwa unaumwa/ unaugua hivyo kutoshughulika na kitu chochote.
Hivyo inatupasaTuzingatie kuwa muda wetu wa kuishi ni mfupi sana , hivyo tutendeane yaliyokuwa mema
 
Ishi kama vile utakufa kesho, fanya kazi (jishughulishe) kama vile utaishi miaka elfu tano, vinginevyo ukiwaza kufa kufa utaishia kushinda ndani ukicheza kidali poo na mwinzio na hapo joto ya jiwe ndo utaona.
 
Habari,
Je unajua kwamba duniani tunaishi muda mfupi sana? fikiria hivi, mwaka mmoja ni siku 365, miaka 10 ni siku 3650 na miaka 100 ni siku 36,500 tu...

Kama miaka 100 ni siku elfu thelathini na sita na mia tano, na wengi wetu hatutofika umri huo, hii ina maana kwamba wengi wetu humu hatutoishi siku 36,500.

Huu ndio ukweli,

Duniani ni sehemu ya kuishi muda mfupi sana hivyo tujitahidi kufanya mambo mema ya kumpendeza Mwenyezi Mungu.

Ahsante...
Ni siku 365 na robo mkuu. Ile robo ukiizidisha kwa mia anapata siku kadhaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenena vyema mtoa uzi. Siku zetu hapa duniani ni chache sana. binadamu wote waliohai sasa, baada ya miaka 100, zaidi ya 99.9% hawatakuwepo, tutakuwa tumekufa.

Lakini utashangaa sisi binadamu tunauana na kuumizana kisa mali na mambo mengine ambayo tukifa tutayaacha hapa duniani.

Tuishi kwa kumcha Mungu, maana yeye ni wa milele yote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Insha allah

Back
Top Bottom