Mkuu maandiko yanatuasa kuwa kuna maisha mengine baada ya kifo.Hayo mambo yanayompendeza Mungu ndio kanuni ya kuishi vizuri baada ya kifo.Kanuni ya kuishi vizuri kabla ya kifo sijawahi kuisoma kwenye maandiko matakatifu.Unaweza kunipa mwanga ova.Habari,
Je unajua kwamba duniani tunaishi muda mfupi sana? fikiria hivi, mwaka mmoja ni siku 365, miaka 10 ni siku 3650 na miaka 100 ni siku 36,500 tu...
Kama miaka 100 ni siku elfu thelathini na sita na mia tano, na wengi wetu hatutofika umri huo, hii ina maana kwamba wengi wetu humu hatutoishi siku 36,500.
Huu ndio ukweli,
Duniani ni sehemu ya kuishi muda mfupi sana hivyo tujitahidi kufanya mambo mema ya kumpendeza Mwenyezi Mungu.
Ahsante...
Kweli mkuu🙏🙏Habari,

Tatizo so kutenda mema huo wema unamtendea nani watendewa wema wamekuwa wanyama
Duh mi nilifikiri utasema tule bataHabari,
Je unajua kwamba duniani tunaishi muda mfupi sana? fikiria hivi, mwaka mmoja ni siku 365, miaka 10 ni siku 3650 na miaka 100 ni siku 36,500 tu...
Kama miaka 100 ni siku elfu thelathini na sita na mia tano, na wengi wetu hatutofika umri huo, hii ina maana kwamba wengi wetu humu hatutoishi siku 36,500.
Huu ndio ukweli,
Duniani ni sehemu ya kuishi muda mfupi sana hivyo tujitahidi kufanya mambo mema ya kumpendeza Mwenyezi Mungu.
Ahsante...
Duh mi nilifikiri utasema tule bata
Shida so kukumbuka wema kka uloutenda shida kuumizwa na hao ulowatendea memaTenda wema, usikumbuke, ukitaka matatizo anza kuukumbuka wema wako utaona bora wanyama
Kunywa maji kubwa mkuu nitakuja kulipa.best thread ever.asanteHabari,
Je unajua kwamba duniani tunaishi muda mfupi sana? fikiria hivi, mwaka mmoja ni siku 365, miaka 10 ni siku 3650 na miaka 100 ni siku 36,500 tu...
Kama miaka 100 ni siku elfu thelathini na sita na mia tano, na wengi wetu hatutofika umri huo, hii ina maana kwamba wengi wetu humu hatutoishi siku 36,500.
Huu ndio ukweli,
Duniani ni sehemu ya kuishi muda mfupi sana hivyo tujitahidi kufanya mambo mema ya kumpendeza Mwenyezi Mungu.
Ahsante...
Wakaplan kumuua Tundu Lissu, hii dunia kuna watu wana roho mbaya aisee huku kwetu Tanzania wakiongozwa na walioratibu mpango wa kumuua LissuHakika mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi si nyingi...
TUPENDANE
[emoji122] [emoji122] [emoji122]Habari,
Je unajua kwamba duniani tunaishi muda mfupi sana? fikiria hivi, mwaka mmoja ni siku 365, miaka 10 ni siku 3650 na miaka 100 ni siku 36,500 tu...
Kama miaka 100 ni siku elfu thelathini na sita na mia tano, na wengi wetu hatutofika umri huo, hii ina maana kwamba wengi wetu humu hatutoishi siku 36,500.
Huu ndio ukweli,
Duniani ni sehemu ya kuishi muda mfupi sana hivyo tujitahidi kufanya mambo mema ya kumpendeza Mwenyezi Mungu.
Ahsante...
Habari,

Waliofanya hivyo walisahau kuwa duniani tunapita tuWakaplan kumuua Tundu Lissu, hii dunia kuna watu wana roho mbaya aisee huku kwetu Tanzania wakiongozwa na walioratibu mpango wa kumuua Lissu
Mkuu huu uzi umeuleta kama TETESI, hii sio tetesi bali ndio uhalisia wenyewe.Sote pia...!
Na hao ndo tunategemea watuletee maendeleo. Hakika tutasubiri sanaWaliofanya hivyo walisahau kuwa duniani tunapita tu