Mtamba wa Panya
JF-Expert Member
- Aug 6, 2017
- 790
- 1,962
- Thread starter
-
- #41
Muda ni Mfupi yani mfupi mfupi sana,
Kuna mtu Robin sharma aliwahi kuandika tunapozaliwa unalia huku ulimwengu unafurahia so yatupasa kuishi maisha ambayo tutapokufa tufurahie huku ulimwengu ukilia
Ujumbe mzuri sana huu
Yap, kuna shostito alinituma nikusabahi.Weekend ndio kama hivi best wengine tushajitupa vitandani,jana ulinambia una salamu zangu eti...[emoji18][emoji18]
Kama yapi?
Jamaniii em mfikishie na mimi salamu zangu za upendo juu yake tafadhali,.😘😘😘😘Yap, kuna shostito alinituma nikusabahi.
Hakuna amri ngumu kama TUPENDANE tena ndugu kwa ndugu au majiraniHakika mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi si nyingi...
TUPENDANE
Naomba sana Mungu nifike miaka 50... hua naji imagine nikiwa kwenye 50s... lol
AmiiinAmeen... M/Mungu akupe hilo!
Aisee hadi sasa nimeishi siku 10988!
Aisee, kumbe nakaribia ukingoni [emoji4][emoji4][emoji4]
NakupendaHakika mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi si nyingi...
TUPENDANE
Nakupenda