TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,560
- 28,553
Mara ya mwisho ulisema umeachana na mambo haya.kupost
Mara ya mwisho ulisema umeachana na mambo haya.kupost
Je kikawaida mwili wa mwanadamu uliozikwa ndani ya jeneza unatumia muda gani kusambaratika kabisa chini ya ardhi na mwili uliozikwa kikobaz
Kuna dawa pia waiting akiwa mochwari humwagiwa nafikiri kwaajili ya kutunza mwili je ile dawa ikitua kwenye ngozi ya aliyekua hai haina madhara kiafya?Kikawaida, mwili wa mwanadamu uliozikwa bila jeneza huchukua kati ya miaka 5 hadi 12 kusambaratika kabisa na kubaki mifupa tupu, wakati mwili uliozikwa ndani ya jeneza la mbao huchukua wastani wa miaka 10 hadi 15 au zaidi.
Muda huu unajumuisha kuharibika kwa nyama na tishu zote laini, lakini mifupa yenyewe inaweza kuchukua miongo kadhaa (miaka 20 hadi 100 au zaidi) kulingana na aina ya udongo kabla ya kugeuka kuwa vumbi.
Mchakato wa kusambaratika kwa mwili chini ya ardhi hutofautiana kwa kiasi kikubwa kulingana na uwepo wa jeneza
Vu bin vu katika moja na mbili nikawa na ushikaji na kizee kimoja kichawi hatari kinachoaminika kuwa ndo kinashikilia kiti cha ukuu wa walozi wa huku kanda ya ****. Siku moja kulikuwa na mfanyabiashara mmoja mkubwa sana wa madini alikuwa amekuja na bonge la V8 mpyaaa. Baada ya kupata alichokifuata tukaendelea na stori zetu.Sehemu ya tatu
Imani za kishirikina na mambo ya kiroho yanayohusishwa na mochwari yanasukumwa na hofu kuu ya mwanadamu kuhusu nini kinatokea baada ya roho kutengana na mwili.
Katika ulimwengu wa giza na ushirikina, mochwari haitazamwi kama chumba cha baridi cha kuhifadhia miili mfu ya binadamu, bali kama "lango kuu la mpito" (the portal of transition) ambapo nishati ya uzima na kifo zinapambana.
Wachawi na waganga wa kienyeji wanaojihusisha na ramli zilizopitiliza mipaka huamini kuwa, kabla ya mwili kuzikwa na kuoza, kuna mabaki ya "akili ya kiroho" (astral residue) yanayobaki kwenye seli za mwili huo, jambo linalofanya maeneo hayo kuwa madhabahu makubwa ya kufanya matambiko mazito ya kuvuta nguvu za giza, kuongeza nguvu za uchawi, au hata kukata harufu ya mikosi kwa kutumia vumbi la maeneo hayo
Vitu vingine vya kiroho na kishirikina vinavyovuma kwa siri kubwa ni pamoja na:
Sauti na Kilio cha Roho (Ghostly Echoes):
Imani za kiroho zinadai kuwa watu waliokufa kwa ajali za ghafla au kuuawa kiuchawi huacha roho zao zikizurura mochwari kwa hasira zikitafuta haki, huku hadithi za mitaani zikidai wahudumu husikia sauti za kunong'ona au vilio vya chini kwa chini nyakati za usiku.
Kuvuna "Upepo wa Kifo" (Necromancy):
Wachawi wakongwe huaminika kwenda maeneo ya karibu na mochwari usiku wa manane ili kukamata nishati ya huzuni na vilio vya wafiwa, ambayo huitumia kiroho kutengeneza makombora ya kishirikina ya kushusha wagonjwa au kufunga riziki za watu.
Kutafuta "Mafuta ya Maiti" (Human Grease):
Kwenye ulimwengu wa ushirikina wa kiwango cha juu, kuna uvumi wa kutisha kuwa mafuta yanayotoka kwenye miili wakati wa upasuaji wa kitabibu hutafutwa kwa udi na uvumba ili kutengeneza mafuta ya siri ya kujipaka yanayomfanya mchawi asionekane (invisible) anapovamia majumba usiku.
Kifungo cha Kiroho cha Sanda (The Shroud Binding): Inasemekana kuwa kipande kidogo cha kitambaa kilichogusa mwili wa mtu aliyekufa kishujaa au mwenye msimamo mkali hutumika kiroho "kufunga" kesi mahakamani au kuwaziba mdomo maadui wasiweze kusema ukweli.
Kutofautisha Kifo cha Mungu na cha Uchawi:
Kiitikadi, wataalamu wa mambo ya kiroho ya kiasili huamini kuwa mwili wa mtu aliyekufa kwa ushirikina (msukule) huwa haupati baridi ya kawaida ya mochwari, bali unabaki na "vuguvugu la siri" linaloweza kutambuliwa tu na watu wenye macho ya tatu ya kiroho.
Ukweli unabaki kuwa, vitu hivi vyote vimejaa simulizi za kusisimua na kutofautiana kulingana na tamaduni, huku sayansi ya kisasa na dini kubwa zikitupilia mbali mambo haya na kuyataja kama hofu za kisaikolojia na mapungufu ya kiimani.🥺🤔
ila nyie, ndo kisimi cha kichanga? duh makubwa, sasa hii tuite ni dhambi au ni tiba,, yani katoto kamekufa bado wanaenda kukakata kisimi😪Vu bin vu katika moja na mbili nikawa na ushikaji na kizee kimoja kichawi hatari kinachoaminika kuwa ndo kinashikilia kiti cha ukuu wa walozi wa huku kanda ya ****. Siku moja kulikuwa na mfanyabiashara mmoja mkubwa sana wa madini alikuwa amekuja na bonge la V8 mpyaaa. Baada ya kupata alichokifuata tukaendelea na stori zetu.
Kizee kile (ni cha kiume 80yrs+) kikaniambia huyu dogo wa madini kafuata kakitu fulani na kaacha milioni 6 cash. Nilishangaa sana. Kitu gani cha hela nyingi hivyo? Ndiyo nikagundua kuhusu ishu za mochwari.
Kilisema dawa zingine zinakuwa ghali sababu ya vitu ghali vya kuchanganya. Kikasema kuwa dawa aliyofuata dogo wa madini siku ile eti inahitaji kisimi cha kichanga kilichofia tumboni. Na upatikanaji wake ni mgumu balaa. Wanachofanya waganga wengi ni kuwahonga wahudumu wa mochwari ili wapatiwe viungo wanavyovihitaji. Kipande cha ulimi wa kichaa, damu ya mwanamke aliyefariki akiwa kwenye hedhi, vidole vidogo vya maiti mapacha na mengine mengi ya kutisha. Kikasema chenyewe huwa kina mtu wake mochwari moja katika hospitali kubwa huko kanda ya **** na kwamba huwa kinawauzia waganga wengine baadhi ya viungo hasa vile vya nadra sana. Watu mashuhuri, wachawi na waganga wakubwa, mamanju, vichaa, watu wenye vipaji, watoto wadogo...viungo vyao mbalimbali hutafutwa sana na vingi huibwa huko huko mochwari.
Ndiyo nilijua kuwa kuna ulimwengu wa kutisha sana ambao hatuuoni na kuna watu wanafanya mambo ya ajabu sana hapa duniani.
Hii ilikuwa miaka ya nyuma kidogo na yule dogo wa madini kwa sasa ni tajiri mkubwa ana mahoteli (siyo lodge), mabasi na malori ya mizigo kibao japo ndo anaitafuta 40s. Tunafahamiana na nilipomkumbusha kuwa nilimwona siku ile kule kwa kile kizee alicheka sana. Mwaka jana aligombea ubunge lakini bahati mbaya alianguka kwenye kura za maoni.
Kuna dunia nyingine kabisa watu wanaishi aisee na mochwari huko nilipaogopa sana tangu siku ile japo siku moja hata mimi nitaingia huko maana katika hali ya kawaida hakukwepeki! 😭😭😭
unadeka😂 sasa hapo umetishika na nini au mimi ndo nina roho ngumu,,, enwei poleInatisha sana.
Wewe una Roho ngumu.unadeka😂 sasa hapo umetishika na nini au mimi ndo nina roho ngumu,,, enwei pole
bora umekuja,, naomba nielekeze kama kunazo movie kaliii zenye hayo mambo uliyo yasimulia hapo juu nione kwa macho labda naweza kusisimka,, kwenye maandishi sipati hisia🤭😅😅,,,Hahahaha😀😀😀
naweza kukugawia kidogo? ukihitaji lakini😜Wewe una Roho ngumu.