But of course that is a basic Machiavellian rule.
One ought not overexpose oneself unduly.
I am not going to overtax my cycles on the finer points of zero government with a country bumpkin.
Vipi nini kuhusu mungu?
Mungu gani?
Labda tuanze kwa kujuzana nini maana ya duara au circle? kikawaida katika duara, umbali kutoka point moja mpaka centre ni sawa katika kila point(every point being equidistant from the center point)!!
Je umbali kutoka ikweta mpaka katikati ya dunia (center of the earth) ni sawa na umbali kutoka kwenye poles (sourth na north pole)??? Jibu ni kwamba havipo sawa kwani umbali kutoka ikweta mpaka katikati ya dunia ni kilomita 21 tofauti na kutoka kwenye poles!!! Mpaka hapa tunaeza ona kwamba dunia sio duara!!!
Lakini tukiangalia publish na tafiti mbali mbali pia tunaeza ona umbo halisi la dunia sio duara wala tufe!! Tukitumia tu uelewa wa kawaida, embu tuangalie uwepo wa mabonde, milima ,mito, maziwa kwenye uso wa dunia, je bado tutashawishika kwamba dunia ni tufe au duara??
Ki uhalisia ni kwamba umbo la dunia sio halisi (irregular shape) au kwa lugha nyingine tunaeza sema ni ni bumpy shape!!
Hii dhana ya kusema dunia ni duara imetoka wapi hasa??
Wanasayansi wamechukulia dunia ni sphere kama model tu (na ifaamike kuna model kama mbili zaidi) ambazo wao wanazitumia katika kufanya mahesabu na tafiti mbali mbali mfano kuchora ramani, kutafuta umbali kutoka point moja mpaka nyingine, na mahesabu mbali mbali yanayohusu kani mvutano(force of gravity) ila ki uhalisia tunaposema dunia ni sphere au circle hizo ni model which present the shape of the earth ambazo zimewekwa kurahisisha tafiti na hesabu (calculations)" na kiuhalisia umbo la dunia sio sphere wala duara bali ni irregular au bumpy shape...
View attachment 152388View attachment 152389
photo source: wikipedia.
Kama tunavyoweza kuona kwenye picha hiyo ndio shape halisi ya dunia tuanaweza kuona milima ,mabonde na vitu vingine vilivyopo kwenye uso wa dunia!!!
Strange but True: Earth Is Not Round - Scientific American
What is the geoid?
The Real Shape of Earth - CNRS Web site - CNRS
hapo kwenye red nilieleewa ndo maana nikakuuliza vipi khusu mungu?. yaani vyote mungu na intaneti havionekani lakini kwa nini intaneti iwepo na mungu asiwepo?. hapa nazungumzia mungu muumbaji wa vitu vyote vikiwemo jua, mwezi, watu na kila kitu.Kusema kwamba sio vyote visivyoonekana havipo si sawa na kusema kila kisichoonekana kipo. Na wala si kusema kwamba kila kionekanacho kipo.
The devil is in the details.
Ndiyo maana nikakuuliza mungu gani?
Kuna watu wanaabudu jua kama mungu wao.
Hawa wakiniambia.mungu wao yupo siwezi kuwabishia.
hapo kwenye red nilieleewa ndo maana nikakuuliza vipi khusu mungu?. yaani vyote mungu na intaneti havionekani lakini kwa nini intaneti iwepo na mungu asiwepo?. hapa nazungumzia mungu muumbaji wa vitu vyote vikiwemo jua, mwezi, watu na kila kitu.
Very funny!!! Mungu gani? How many are they BELIEVER OF NO GOD?
Kwa sababu intaneti inaelezeka kwa protocols za TCP/IP, kuna predictions kwamba ukinunua computer au simu ukawa na hardware na softqare fulani, ukawa na connection fulani, utawwza kujiunga na mtandao wa internet.
Mungu unayemuongelea anawezaje kuwa tested in a way that will conclusive point to the existwnce of god and god only as the cause of the results?
Sijajua unashangaa kitu gani, Kiranga anauliza Mungu gani kwa sabau Mungu ni kitu tofauti kwa watu tofauti. Kila mmoja ana tafsiri yake ya Mungu. Kuna kosa yeye kutaka kujua unamuongelea Mungu gani? Kama wote tunaongelea Mungu mmoja tungekua tunavutana kila leo kuhusu Mungu? Si wote tungekua tunamjua?
Kwa hilo sijaona kustaajabishwa na hilo swali.
Sijajua unashangaa kitu gani, Kiranga anauliza Mungu gani kwa sabau Mungu ni kitu tofauti kwa watu tofauti. Kila mmoja ana tafsiri yake ya Mungu. Kuna kosa yeye kutaka kujua unamuongelea Mungu gani? Kama wote tunaongelea Mungu mmoja tungekua tunavutana kila leo kuhusu Mungu? Si wote tungekua tunamjua?
Kwa hilo sijaona kustaajabishwa na hilo swali.
[/COLOR]
hapo kwenye red sio straight forward kama ilivyo kwenye intaneti lakini kuna some clues ambazo zinaonyesha kwamba kuna aliyeumba vitu hi.
1.vitu vipo complex sana. ukiangalia water cycle, ukiangalia ecosystem ni vigumu kutoamini kama havikuumbwa. huwa nasomasoma ishu za immunology zipo complex kiasi naona kutakuwa na superbeing amehusika kuumba.
2..biblia pia imetaja uwepo wa mungu (kama kitabu cha historia). watu wengi kama pontio pilato, nubukadneza na wengi waliotajwa kwenye biblia hutajwa pia kwenye vitabu vingine. pia mambo mengi ambayo hutajwa kwenye biblia yamethibitika kuwa yalitokea kweli . kama nisipoamini biblia sioni sababu ya kuamini stori za kimweri, kinjekitile au mankamusa
3.harafu kwanini binadamu tunajiona kama gold standard ya kipimo cha akili?. kama sisi tumempita akili mbwa ambaye nae kampita n'gombe. kwanini tunakataa kuamini kwamba kuna species yenye akili zaidi yetu au hata kutuumba?
umewahi cheki movie inaitwa prometheus?
Kwa hiyo ukienda mwisho wa dunia unadondoka? Au kuna ukuta?
Kwa sababu intaneti inaelezeka kwa protocols za TCP/IP, kuna predictions kwamba ukinunua computer au simu ukawa na hardware na software fulani, ukawa na connection fulani, utaweza kujiunga na mtandao wa internet.
Mungu unayemuongelea anawezaje kuwa tested in a way that will conclusive point to the existwnce of god and god only as the cause of the results?
Kiranga.
Ziba pua na mdomo wako kwa dakika 3 tu..usivute pumzi,unaruhusiwa kutoa pumzi lakini usivute. Ukiweza hili basi utakuwa umegundua kuwa Mungu yupo au ni hadithi tu.
Give it a try and let the results contradict/confirm your position.Non sequitur.
Wengine wanaweza kusema binadamu kufa kirahisi hivyo kunaonyesha kwamba hakuumbwa na mungu muweza yote.
Kwa sababu angeumbwa na mungu huyo asingeweza kufa kirahisi hivyo.
You are drawing a connection where there is none, and forcing one will only provide results to contradict your position.
Give it a try and let the results contradict/confirm your position.