Dunia sio duara, wala haina obiti ya kuzungukia

Dunia sio duara, wala haina obiti ya kuzungukia

Seems hujasafiri kbs, hata ukiwa dunian unaiona dunia iko duara,

Yaan umeonyesha ulofa wa hali ya juu kbs
 
Sayansi na dini ni sawa na ardhi na mbingu hivyo jiongeze.
 
Dunia sio duara kweli. Ila sio plane neither. Its a curved plane that has its local max and min points
 
mkuu hata izo biblia na misaafu ilitetwa na hao hao unao waita kuwa ni wapotoshaji .. Sisi tulikua tukiabudu miti na vinyago vingine. Fanya kupitia tena hoja yako haina mashiko
Dini ulinyanganywa. Baada ya muda murefu zikarudishwa. Sio wao wenye dini bali niya Mu-Africa ndo mwenye dini.
 
Mkuu umetokea kwenye mkesha straight ukapost hii kitu. Utakuwa haujalala wewe na umeimba mapambio na kukemea usiku kucha. NNJ7 kalale kwanza kisha ukiamka akili iko fresh soma tena uzi wako. Conclusion ikibaki ni ile ile basi shida ipo mahali fulani.

Eti dunia pembe nne, sasa huku nyuma kuna nini sasa, Giza?
 
ndugu mtoa mada nitakujibu kama ifuatavyo!....
nimeshuhudia eneo fulani ukisema je! hizi picha za dunia wakati zinapigwa mpigaji alikua wapi!
hahaha ndugu yangu picha zimepigwa na satellite zilizo rushwa na wanadamu mfano wamarekani kupitia shirika lao la NASA..
hata hivyo zifuatavyo ni evidence that proves the earth is round eeeh dunia ni duara bana!...

day and night~kama dunia ingekua flat kusingekua na tofauti ya usiku na mchana kwa baadhi ya mataifa mafano sasa hivi ni usiku but japan now ni mchana...

lunar eclipse~kupatwa kwa mwezi kivuli cha dunia huonekana kwa umbo la duara na sii pembe nne so dunia duara na si flat

ship visibility~yeaa naamini uko dar es salaam nenda bandarini utajionea

aerial photography~ picha zipigwazo kutoka angani mfano ndege nk

itaendelea.....
Binafsi sijawahi ona lenzi ya pembe 3,4,5,6,2 n.k
lenzi ambazo nimekuwa nikizishuhudia ni lenzi Mviringo. (Duara)

Hata krunzi(toch) nayenyewe ina frash ya duara.

Sasa ukichukua tochi ukamurika chini, mwanga wa tochi utakuwa na umbo ya Duara.
Hii sio sahihi kuwa unapo pamurika kuwa ni Duara la hasha, Uduara ule umeasababishwa na Tochi yenyewe kuwa na Frashi ya Duara, Kuwa na Kamera ya Duara(lenzi)
Sasa hata kamera zilizopo kwenye seteilite zinatoa majibu kutokana na zenyewe zilivyo.
 
Siku utasema mwezi na jua sio duara.

Ulipewa akili na Mungu ya utambuzi, basi itumie.
 
Ovyo kabisa.
Unasema hutaki kupokea elimu waliyotuletea alafu unatumia biblia kupangua sayansi, hujui dini ya ukristo na uislamu vyote vimeletwa kutoka kwao?

Waafrika mnashika dini ovyo sana bila kuquestion, sasa kwa taarifa yako hata biblia imeandika dunia ni duara, naona uko shaky potepote. Fungua Isaya 40:22 imeandika "Yeye ndiye anayeketi juu ya duara ya dunia"

Nenda kasome upya, elimu haijatengenezwa na mzungu, elimu ni mchango wa binadamu wote, kila mtu ana play part kwenye kukuza elimu, chuki yako kwa mzungu usituletee hapa. Waafrika hua mnatafuta visingizio vingi kujustify your failures.
Dini ni Yetu haikuletwa.
Unaweza kudhani unaakili kumbe huna.

Mwanzo nilisema nataka kuzihakiki hizi habari.
wewe ungesema , Bro, hizo habari sio sahihi
Kwanza ni hivi na vile.
nami niseme ok. Sasa naelewa.

Badala yake unakurupuka na kutaka ujulikane kama unajua kuhusu dunia.
Embu nipe maana ya haya maneno.(kivyovyote vile uelewavyo)

1,Dunia
2,Ulimwengu
3,Aridhi
4,Nchi

Binafsi najua kuna kiwango mtu anatakiwa aone umbali flani.

Ukipewa miwani Jua kabisa mimi sioni kama Binadamu wa kawaida.
Lengo sasa ni wakusaidie kufikia kiwango cha mbali kuona kama wengine.
 
Nto
Dini ni Yetu haikuletwa.
Unaweza kudhani unaakili kumbe huna.

Mwanzo nilisema nataka kuzihakiki hizi habari.
wewe ungesema , Bro, hizo habari sio sahihi
Kwanza ni hivi na vile.
nami niseme ok. Sasa naelewa.

Badala yake unakurupuka na kutaka ujulikane kama unajua kuhusu dunia.
Embu nipe maana ya haya maneno.(kivyovyote vile uelewavyo)

1,Dunia
2,Ulimwengu
3,Aridhi
4,Nchi

Binafsi najua kuna kiwango mtu anatakiwa aone umbali flani.

Ukipewa miwani Jua kabisa mimi sioni kama Binadamu wa kawaida.
Lengo sasa ni wakusaidie kufikia kiwango cha mbali kuona kama wengine.[/Q
Mtoa mada una elimu haba sana kuhusu dini,tamaduni, historia,sayansi na jiografia. Hoja utoazo zote ni nyepesi na kinzani!
 
hivi ushawahi pigwa picha ukatokea waduara,? manake umesema lenzi za kamera ndio hufanya dunia ionekane ya duara...
hivi unajua kwamba kuna watu wako angani kwenye international space station na wanaiona dunia kwa macho yao jinsi ilivyo ya duara....
je! kama dunia ni flat why kuna tofauti ya usiku na mchana kwa mataifa mbalimbali...,?
unajua circumnavigation of earth maglan na wenzake waliizunguka dunia wakajikuta wamerudi pale pale
acha nisikuchoshe hivi mtu aliyepo japan akitaka kwenda marekani meli atakayopanda itakuja west au itaenda east direction ukinijibu hili basi,?
 
Daah kwahiyo ndio imeishia hapo au itakuwa na sehemu ya pili?

Hujatoa hoja kuonyesha namna huo ukweli ulivyo ili kututoa huu uongo tuliobebeshwa na elimu iliyotokana na utumwa kwa waafrika na badala yake ukaishia kwenye maelezo yanakingamana na ulichokisema..

Je kama dunia sio duara ina umbo gani?
 
Binafsi sijawahi ona lenzi ya pembe 3,4,5,6,2 n.k
lenzi ambazo nimekuwa nikizishuhudia ni lenzi Mviringo. (Duara)

Hata krunzi(toch) nayenyewe ina frash ya duara.

Sasa ukichukua tochi ukamurika chini, mwanga wa tochi utakuwa na umbo ya Duara.
Hii sio sahihi kuwa unapo pamurika kuwa ni Duara la hasha, Uduara ule umeasababishwa na Tochi yenyewe kuwa na Frashi ya Duara, Kuwa na Kamera ya Duara(lenzi)
Sasa hata kamera zilizopo kwenye seteilite zinatoa majibu kutokana na zenyewe zilivyo.
Hii sasa mpya yaani kwavile satelite inayotumiwa ina umbo la duara ndio hufanya dunia kuwa duara!!!

Sijawahi ona mtu au kitu kilichopigwa picha then kikabadili umbo sababu tu ya umbo la kifaa kilichotumika kupiga picha hiyo.
 
Hio hoja ni weak asee.....Namuunga mkono mzungu Dunia ni sphere
 
Kwa sababu mkuu huwezi kutetea hoja zako nikusaidie kwa kumaliza na hii video ambayo ilichukuliwa na satellite ya Japan iitwayo koguya ikionyesha jinsi dunia inavyochomoza (earthrises) kutoka mwezini video ilichukuliwa na hd camera 2008. Swala LA dunia kuwa duara kwa sasa haliitaji mjadala ni kuprove tu.
 
madhara ya kutosoma jiografi hata picha ulizoweka sio za mwanzo wa dunia dunia mwanzo iloluwa one landmass pangaea badae ikagawanyika sasa wewe unatakiwa kurud darasan mambo machache ti huyajui.
 
una maanisha nini unaposema tulinyang'anywa na kurudishiwa tena?????!!!!! mkuu NNJ7 kataa kubali dini zililetwa na hao ma explorer wa kwanza kabisa.... sie vyetu vibuyu babaa
 
una maanisha nini unaposema tulinyang'anywa na kurudishiwa tena?????!!!!! mkuu NNJ7 kataa kubali dini zililetwa na hao ma explorer wa kwanza kabisa.... sie vyetu vibuyu babaa
 
Proof ya dunia duara nenda pale cocobeach kaangalie mpaka wa bahari
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom