mkuu hata izo biblia na misaafu ilitetwa na hao hao unao waita kuwa ni wapotoshaji .. Sisi tulikua tukiabudu miti na vinyago vingine. Fanya kupitia tena hoja yako haina mashikoHabari wana JF
Niasubuhi nyingine tena Tumependelewa kuiona vyema.
Leo Napenda #KUZIHAKIKI taarifa ninazozijua kuhusu Dunia.
Nimefundishwa Darasani kama wengine wengi walivyo fundishwa, Habari ya kuhusu Dunia.
Binafsi naelewa kuwa, Serikali imetoka (Imetohorewa) kwenye Dini. Vilevile natambua kuwa, Uwepo wa serikali nyingi hapa Afrika umetokana na utawala wakitumwa wa #Waarabu #Wajeruman na #Waingereza.
Kwa mantiki hio sasa nachelea kusema kuwa,
Wa-Afrika tulikubali kupokea na tukapokea mpaka vibovu bila kuhoji.
Sasa naziona asilimia za madhara ya mapokeo 70% na Faida zake ni 30% tu(binafsi ) athali za Utumwa.
Elimu nayo haikuachwa nyuma katika suala zima la mapokeo
Na hapa ndipo palipo kosewa sana na kubeba asilimia 70%zote za madhara ya mapokeo (binafsi )
Kuna vingi tu tulivyo potoshwa katika hii Elimu. Na kati ya hivyo hili la: -
...........DUNIA DUARA. NA INANJIA YA KUJISUNGUSHA. mimi nataka kufuta huu uelewa katika ubongo wangu.
![]()
Eti na hapa ndipo hujizungusha katika obiti yake
![]()
Binafsi naona kuwa ni upotoshwaji wa ukweli.
Nachokielewa ni
Dunia Ilitafasrika kuwa Dunia mara Ilipo amriwa sehemu kavu kutokea na kuyatenga maji. Na ile sehemu kavu kuitwa Aridhi.
Palikuwa na Maji tu sehemu yote pia na Giza tu.
Sasa ilipotokea aridhi na kuyatenga Maji ndipo neno Dunia likatokea badala ya Vilindi vya Maji.
Soma hapa
Kitabu cha kwanza cha Musa Kiitwacho
mwanzo 1:1-6
Hapo tu utaelewa
Na hali ukisoma fungua akili yako kuwa unasoma histori ya mababu zetu akina Musa n.k
Na ilihali ukijua kuwa 1Dini - 2Serikali- 3Elimu.
Maana yake -
Dunia ilikuwa na Mwonekano huu:-
![]()
Sio Duara. Na hakuna Muhimili wala Obiti
ni Misingi tu ndio iliyopo chini ya maji iliyoshikilia Dunia.
(By uelewa wangu. Ndo maana nikasema #Nataka nithibitishe huu uelewa)
Karibuni kwenye huu Uzi......
Sio hivi![]()
Dunia ipo Flat Tambalale
![]()
KWANZA HATA TETEMEKO LA ARIDHI NI USHUHUDA TOSHA KUWA DUNIA HAINA ORBIT.
kama ndivyo ingesha dondoka kitambo sana. Au kama sio kudondoka basi Tetemeko la Japani mpaka Tanzanian tungeathirika.
Lakini pia
Kama Dunia ina jizungusha kwenye hio orbit na uzito wote huo wa maji, mchanga, miti, wadudu ,wanyama na wewe ukiwemo pia na mawe kwa 70% ya maji na 30% ya nchi kavu.
Ulishawahi Jiulia Hio Orbit ina Nguzo nene na imara kiasi Gani kubeba Hii Dunia. Na nguzoze zimesimikwa wapi?.
Yaani hata hushishtuki tu kikawaida. Mpaka sayansi....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Siku hizi hata kwa macho wanaiona dunia tokea International Space Station. Mtoa hoja hajielewiMkuu sijaona sababu za msingi za hoja yako naona umeleta maandiko tu apa ambayo awali nimeona unaponda mambo tulioletewa kama bible au Quruan sasa naona una ya quote hayo kuelezea ukweli unakosea. Science sio static ndio mana kuna Geocentric theory na Heliocentric Watu wamekaa na kuandika mtu mwenye hoja na maana lake linapitishwa sasa ww lete mtazamo wako kisayansi juu ya dunia haipo ktk orbit na haizunguki..Swali kwanini tuna usiku na mchana?
Kama iko flat inakuwaje ukifanya safari ya kwenda mtu anatoka Japan au Asia kwenda Amerika kupitia Pasific ocean na anafika? Au ukitoka Afrika unaweza kwenda East utajikuta umerudi Afrika bila ya kukata kona ya kurudi?Sio hivi![]()
Dunia ipo Flat Tambalale
![]()
KWANZA HATA TETEMEKO LA ARIDHI NI USHUHUDA TOSHA KUWA DUNIA HAINA ORBIT.
kama ndivyo ingesha dondoka kitambo sana. Au kama sio kudondoka basi Tetemeko la Japani mpaka Tanzanian tungeathirika.
Lakini pia
Kama Dunia ina jizungusha kwenye hio orbit na uzito wote huo wa maji, mchanga, miti, wadudu ,wanyama na wewe ukiwemo pia na mawe kwa 70% ya maji na 30% ya nchi kavu.
Ulishawahi Jiulia Hio Orbit ina Nguzo nene na imara kiasi Gani kubeba Hii Dunia. Na nguzoze zimesimikwa wapi?.
Yaani hata hushishtuki tu kikawaida. Mpaka sayansi....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa reference za bible kama sikosei ni katika habari za danieli kuna mstari unasema Jua linaizunguka dunia. NakujaOvyo kabisa.
Unasema hutaki kupokea elimu waliyotuletea alafu unatumia biblia kupangua sayansi, hujui dini ya ukristo na uislamu vyote vimeletwa kutoka kwao?
Waafrika mnashika dini ovyo sana bila kuquestion, sasa kwa taarifa yako hata biblia imeandika dunia ni duara, naona uko shaky potepote. Fungua Isaya 40:22 imeandika "Yeye ndiye anayeketi juu ya duara ya dunia"
Nenda kasome upya, elimu haijatengenezwa na mzungu, elimu ni mchango wa binadamu wote, kila mtu ana play part kwenye kukuza elimu, chuki yako kwa mzungu usituletee hapa. Waafrika hua mnatafuta visingizio vingi kujustify your failures.
Naomba unijibu swali langu. Nami nitakuunga mkono katika hoja yako. Ukisafiri kwa kutumia chombo kiwe cha nchi kavu, majini na angani kuelekea upande mmoja tuu wa dunia mwishowe utaishia wapi? Yaani utakutana na barrier yeyote kuonesha mwisho au hapana?Na kama ipo nyuma yake kuna nini?.Au ukielekea mashariki moja kwa moja. Mwishowe utatokeza wapi?? Ukipata majibu hayo, yalete hapa tuendelee na mada.Habari wana JF