Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 34,526
- 59,561
Ukiwa mchawi unnaongea na misukule tu
Achunguzwe mwandishi kama ni binadamu huyo
Achunguzwe mwandishi kama ni binadamu huyo
yeah R.I.PBy Elvis Musiba RIP
Acha wewe[emoji23][emoji23]
Msome na contents,,hajakosea mbona.alichodhamiria kukipotray kafaniikiwa.
Not to that extent.. Na ingekuwa ni fasihi angetumia alama za funga na fungua semiKatumia fasihi kidogo.Nadhani kufikisha ujumbe so that he catches your attention.
Wezi watoto wa bwana johnMbuzi wa bwana joni, shamba la bwana joni...! [emoji144][emoji144][emoji144][emoji124][emoji124][emoji124]
[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]Hii habari ilivuja kutoka gazeti la huko kuzimu maana marehemu walikuwa wana wasumulia wwnyeji wao huko na mwandishi akaripoti kwa magazeti ya huko, swali la msingi nani aliyevujisha?[emoji276][emoji276][emoji276]
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87]View attachment 879605
Mwandishi inaonyesha alikufa naoKumbe siku hizi maiti wanaongea na kusimulia
Kweli tena ndo maana hii habari kaileta kama alivyoadisiwa na marehem wenzake[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji87][emoji23]