Dunia simama nishuke

Dunia simama nishuke

Nafkiri hadi hao maiti hawakuamini kilichowatoea wakaamua kurudi kuthibitisha zaidi kma wao ndio walioyakuta,kuishi tz raha sana mana tunajionea mengi yalo nje ya uwezo wetu.
 
Duuuuh! Ni hatareeee! Kama ndivyo ilivyo! Nadhani wanasimuliana wenyewe kwa wenyewe! Hata mwandishi naye alikufa na MV Nyerere!
 
Nafkiri hadi hao maiti hawakuamini kilichowatoea wakaamua kurudi kuthibitisha zaidi kma wao ndio walioyakuta,kuishi tz raha sana mana tunajionea mengi yalo nje ya uwezo wetu.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
Hao ndio waandishi uchwara waliobaki Tanzania

Waandishi makini walishapoteza na wengine kuuawa tangu kipindi cha mpito kilipoanza [emoji53][emoji53][emoji53]
 
hahaa
 
au kitengo cha uandishi wa habari kimekuwa na nguvu ya kutuletea habari mubashara kutoka peponi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]🤔🤔[emoji87][emoji87][emoji87][emoji87]
 
Mimi nataka kujirusha tu naona dereva hataki kutushusha tuta.
 
Back
Top Bottom