nyamalagala JF-Expert Member Jun 5, 2016 744 673 Sep 27, 2018 #2 Naomba mnijuze kama bado naishi kwenye sayari hii hii iitwayo dunia maana sijawahi kusikia mfu akisimulia kilichomuua.
Naomba mnijuze kama bado naishi kwenye sayari hii hii iitwayo dunia maana sijawahi kusikia mfu akisimulia kilichomuua.
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 269,632 697,796 Sep 27, 2018 Thread starter #3 nyamalagala said: Naomba mnijuze kama bado naishi kwenye sayari hii hii iitwayo dunia maana sijawahi kusikia mfu akisimulia kilichomuua. Click to expand... 🤔🤔
nyamalagala said: Naomba mnijuze kama bado naishi kwenye sayari hii hii iitwayo dunia maana sijawahi kusikia mfu akisimulia kilichomuua. Click to expand... 🤔🤔
Barieda JF-Expert Member Aug 13, 2018 1,791 2,420 Sep 27, 2018 #4 Ukifika kituo unachoshukia nami nistue tushuke wote, machale yamenikuna!
OMOYOGWANE JF-Expert Member Dec 30, 2016 3,628 9,175 Sep 27, 2018 #5 Kumbe siku hizi maiti wanaongea na kusimulia
Mbushuu JF-Expert Member Aug 3, 2011 2,172 3,392 Sep 27, 2018 #6 Mshana Jr said: View attachment 879605 Click to expand... Hili gazeti siyo jamvi la habari kweli?
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 269,632 697,796 Sep 27, 2018 Thread starter #7 kachonjo said: Ulitakiwa kuwa jukwaa la picha Click to expand... Ooh sorry sawa
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 269,632 697,796 Sep 27, 2018 Thread starter #8 Barieda said: Ukifika kituo unachoshukia nami nistue tushuke wote, machale yamenikuna! Click to expand... Aisee kwakweli
Barieda said: Ukifika kituo unachoshukia nami nistue tushuke wote, machale yamenikuna! Click to expand... Aisee kwakweli
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 269,632 697,796 Sep 27, 2018 Thread starter #9 Mbushuu said: Hili gazeti siyo jamvi la habari kweli? Click to expand... UHULU
Mbushuu JF-Expert Member Aug 3, 2011 2,172 3,392 Sep 27, 2018 #10 Mshana Jr said: UHULU Click to expand... Kumbe ni gazeti pendwa la chama.
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 269,632 697,796 Sep 27, 2018 Thread starter #12 Ochumeraa said: Tunashuka kituo gani mkuu Click to expand... Tusisubiri kituo, tuombe msaada tutani
Vin Diesel JF-Expert Member Mar 1, 2011 9,088 6,368 Sep 27, 2018 #13 Mshana Jr said: View attachment 879605 Click to expand... Wewe ni mtaalamu wa hizi mambo boss...maiti kuongea ni jambo la kawaida kabisa, au sio...
Mshana Jr said: View attachment 879605 Click to expand... Wewe ni mtaalamu wa hizi mambo boss...maiti kuongea ni jambo la kawaida kabisa, au sio...
Francis3 JF-Expert Member Oct 3, 2016 489 1,629 Sep 27, 2018 #14 aiseeee mshana hii kitu inaitwa ufufuo wa wakiwa
hearly JF-Expert Member Jun 19, 2014 45,622 63,117 Sep 27, 2018 #15 Hahaaa... hawa waandishi wa Taifa hili ni disaster
legend Babushka JF-Expert Member Jun 29, 2015 576 1,237 Sep 27, 2018 #16 I think my eyes are seeing more than what they should see..
hearly JF-Expert Member Jun 19, 2014 45,622 63,117 Sep 27, 2018 #17 Mshana Jr said: UHULU Click to expand... Aisee " Muandishi na yeye anatafuta teuzi nini"... Maana sifa kuu yakuteuliwa lazima uwe kichaa
Mshana Jr said: UHULU Click to expand... Aisee " Muandishi na yeye anatafuta teuzi nini"... Maana sifa kuu yakuteuliwa lazima uwe kichaa
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 269,632 697,796 Sep 27, 2018 Thread starter #18 Vin Diesel said: Wewe ni mtaalamu wa hizi mambo boss...maiti kuongea ni jambo la kawaida kabisa, au sio... Click to expand... Mochwari tu tena ni matukio machache mno
Vin Diesel said: Wewe ni mtaalamu wa hizi mambo boss...maiti kuongea ni jambo la kawaida kabisa, au sio... Click to expand... Mochwari tu tena ni matukio machache mno
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 269,632 697,796 Sep 27, 2018 Thread starter #19 Francis3 said: aiseeee mshana hii kitu inaitwa ufufuo wa wakiwa Click to expand...
Behaviourist JF-Expert Member Apr 8, 2016 39,902 95,405 Sep 27, 2018 #20 Hili gazeti bila shaka ni lile linalomilikiwa na Musiba!