Nimepitia mitandao yoooooooooooooooooote ya ndani na je, woooooooooooooote wanakulaumu hukutenda haki. Kwa makusudi kabisa unamtesa mtu wa watu, mpenda haki asiye na haia!
Laana hizi hazitakuacha salama mbele ya Mungu. Zitakuacha salama kwa uliowaabudu ukatenda UOVU kutenda maovu!