Ambokile Amanzi
JF-Expert Member
- Dec 12, 2018
- 961
- 1,333
- Thread starter
- #61
Ukifa maiti yako inakuwa nani??Pamoja na kufikili hizi fikirishi mpya na kujua ukifa utakuwa (panzi au ndezi) kutokana na matendo yako, still UNAKUFA NA NAFSI inarejea mavumbini.
Hawa jamaa wa hizi mada au elimu hii nawaona sana wakiwa na ethics flani ambayo wengine ndiyo wale wanaosema hakuna Mungu.
Unaweza ukahisi kuwa wewe ni maiti?
Yule wewe anaenda wapi baada ya kifo chako?
Yule wewe anakuwa wapi kabla haujazaliwa?
Uliweza kujihisi kuwa wewe ni wewe kabla hujazaliwa?
Na unajuaje kuwa wewe ni wewe baada ya kuzaliwa?
Kwanini usijihisi kuwa wewe ni yule mwingine?
Hisia ya wewe ni wewe inatoka wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app