Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,307
- 40,105
Waafrika tumekuwa nyuma siku zote sababu ya mtazamo wa kijinga kama wako! Fikra hizi zinaonesha ni mamna gani tusivyo "Curious" ma ndio maana hata kiwango chetu cha ubunifu ni duni sana sababu kwetu ukuu wa Mungu tunauconfuse na mambo yasiyohusiana.
Sasa idadi ya watu inaongezekaBinadamu huzaliwa, hukua, na hufa. Lakini binadamu huyu huzaliwa pasipo ufahamu wa chanzo chake na kuvaa umbo la mwili lililotengenezwa kwa yai la mama na mbegu ya baba.
Kabla hatujaendelea na uchambuzi wa mada, unaweza kujiuliza maswali yafuatayo ;
Je, kabla ya kuzaliwa ulikuwa wapi?
Je, ni kitu gani kinakufanya uhisi kuwa wewe ni wewe?
Je, kwanini hauhisi kwamba wewe sio yule mwingine, lakini wewe ni wewe?
Kitu gani kinakufanya kuwa wewe?
Je, wewe ni nani? Wewe ni mwili? wewe ni hisia ya kujisikia kuwa wewe ni wewe?
Je, ukifa, wewe unakwenda wapi?
Je, maiti yako ni wewe?
Baada ya maswali machache ya falsafa juu ya chanzo cha binadamu, tunabaini kuwa, binadamu ni viumbe wanaozaliwa na kufa, na huzaliwa tena na tena katika namna tofauti, miili tofauti, na maeneo tofauti katika mchakato uitwao incarnation.
Mwili wa binadamu unapokufa, nguvu au nafsi hai inatoka ndani ya mwili na kupitia mchakato mpya wa kutafuta makazi ndani ya mwili mwingine.
Nafsi zetu zimefungwa na adhabu endelevu ya karma ambayo inatufanya tuyalipe matendo yetu katika miili mipya baada ya kufa na kuzaliwa upya.
Baada ya kufa, nafsi yako itachagua maisha ambayo yatakulipa kisasi ama yatakurudishia wema kwa kadiri ya maisha yako kabla ya kifo. Kama ulikuwa muuaji katika maisha ya mwanzo, basi baada ya kuzaliwa upya nafsi yako itachagua maisha ya mtu mpya mwenye hali ya unyonge ili kusudi uadhibiwe kwa kisasi kile kile cha mauaji.
Vivyo hivyo, maisha ya sasa ya mtu mnyonge yatalipwa kwa wema na furaha katika maisha yajayo ndani ya mwili mpya.
Hii ndio dhana ya karma, ambayo huenda ina uhusiano wa moja kwa moja na mafundisho ya mbingu na jehanamu. Ama msemo wa wahenga usemao " malipo ni hapa hapa duniani" . Kimsingi, nafsi zetu zinachukua miili mipya kulipa karma kwa kadiri ya matendo yetu.
Incarnation inapotokea, nafsi yako inakuwa imeshafahamu maisha yako yote yajayo katika mwili mpya, na hivyo kukufanya upitie hatua zote za hatma yako. (destination).
Mchakato huu, unahusiana moja kwa moja na kitu kinachoitwa DEJA'VU, yaani kumbukizi zinazompata mtu ghafla na kutambua kuwa anafanya mambo ambayo alishakwisha kuyafanya.
Kumbukumbu hizi za DEJA'VU zinatupa taarifa kuwa maisha yetu yalishachorwa na nafsi zetu kabla hatujaja duniani. Huu ni ufunuzi wa kiroho unaotukumbusha kuwa tunapitia mambo ambayo yalishakwisha kuonwa na kupangiliwa.
Binadamu ni roho zilizotekwa ndani ya gereza la dunia, na ni roho ambazo zitaendelea kuja tena na tena katika miili tofauti ili kulipa KARMA na ku-experience maisha mapya tofauti na yale kabla ya kifo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hali yako mbaya kiuchumi isikufanye uwe na hasira hivyo mkuu. Kutukana hovyo. Ujinga sio tusi.Pumbavu kabisa wewe...
Umesoma vizuri nilichoandika? Huoni nilichoandika kwa namna moja kinaelezea pia ukuu wa Mungu
Kumbukumbu halisi za kabla ya kifo chako zinafutika kabisa na huwezi kujua lolote.Ningependa nijue kama baada ya iyo "incarnation" huo mwili mpya kama huna kumbukumbu ya hayo maisha ya mwanzoni yaliyopita how its value?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huenda kuna nafsi mpya ndani ya miili mipya. Maana hata nafsi za kale nazo zilikuwa mpya at one point in time.Sasa idadi ya watu inaongezeka
Sasa je nafsi nazo zinaongezeka ili kuendana na kazi ya ongezeko la idadi ya bodies miiili au na kama ndiyo zinatengenezwa kutoka wapi?
So ukila bata Leo kesho msoto kesho kutwa bata....circle ka hiyo ,bas tu relax tusubir muda (circle) ya bata zetu
Sent using Jamii Forums mobile app
inawezekana.Kwahiyo huenda Osama bin Laden alikuwa kitimoto akafa ndipo akazaliwa binadamu?
Basi huenda now akazaliwa akiwa papa wa Vatican
Nafsi yako ilishayaona hayo yote kabla ya wakati.Nilishawahi kuzungumza na ndugu yangu mmoja miaka kadhaa iliyopita na nilimwambia "inavyoelekea binadamu tukifa huwa tunarudi tena Duniani kwa kuzaliwa upya,tena unaweza kuzaliwa hata na mama wa jirani lkn usitambeu kuwa mwanzoni ulikuwa kwenye familia flani"
Pia,mbona kuna vitu hata kama ndyo kwanza navifanya kwa mara ya kwanza lkn moyoni mwangu nahisi kama nilishawahi kuvifanya
Nakumbuka jamaa alicheka na kukosa majibu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Deja'Vu is real. Kuna nguvu kubwa sana ndani yetu ijuayo yote.Niko safarini sasa juzi nilifika mahali nikawa natafuta sehemu ya kulala nikakosa.. Nikampigia rafiki yangu akanielekeza mahali pengine
Hapo mahali sijawahi kufika, lakini nilipofika nikakumbuka nilishawahi kufika but kwa njia ya ndoto.. Very vivid memory... Ndoto yote ilikuja kama vile ndio siku hiyo
Jr[emoji769]
Nafsi yako imefungwa katika minyororo ya karma, na itachukua mwili mpya ili kushiriki aina mpya ya maisha. Wema kwa ubaya, uanaume kwa uanauke, utajiri kwa umasikini, hali duni kwa hali bora.Sasa idadi ya watu inaongezeka
Sasa je nafsi nazo zinaongezeka ili kuendana na kazi ya ongezeko la idadi ya bodies miiili au na kama ndiyo zinatengenezwa kutoka wapi?
So ukila bata Leo kesho msoto kesho kutwa bata....circle ka hiyo ,bas tu relax tusubir muda (circle) ya bata zetu
Sent using Jamii Forums mobile app
inawezekana.Hahakwa hiyo magufuli kabla hajazaliwa sasa alikuwa na roho ya kiungwana
Mwanadamu anaweza akaandika na kutafakari kwa namna nyingi awezavyo juu ya asili yake, uwepo wake na hata hatma yake...
Katika fakari zote kila moja kwa jinsi yake, zote huishia kukiri uwepo wa 'super natural powers beyond our ordinary powers'...
Hakuna ukweli hapo,
hakuna mahusiano Kati ya waliopo hai na waliokufa , hizo ni porojo kama zingine hakuna cha dajavu wala reicnation
Sent using Jamii Forums mobile app
Unadhani Kwanini tunapata ufunuo wa Deja'Vu? ni bahati mbaya tu?I never believe incarnation.
I never believe in Karma.
but DEJAVU is real.
But every one has his own opinion.