Sihamishi mada bali nataka uwe makini na unacho kiandika na uwe unajua una andika nini.nimekusudia hiyo aya ya Qurani.
kwa hyo unataka kuhamisha mada sio..?
Qurani ndio nimeinukuu kwanza kabla ya alfarsiy.
unataka kusemaje..?
wewe ndo katika wanaosema ukicheza bao ukasema nakula hapa, nasafiri ilhali umefunga unafungua sioo ?Sihamishi mada bali nataka uwe makini na unacho kiandika na uwe unajua una andika nini.
Mada za kielimu hujadiliwa kielimu,kuanzia katika lugha mpaka marejeo.
wanachuoni wakubwa wana sifa zipi ambazo zitatufanya tuone kuwa huyu adallah saleh ni kijanachuoni kidogo...?
Sababu ya msingi huna,tangu tumeanza kujadiliana mpaka muda huu hujatoa sababu ya msingi.sasa kamaunaikataa wewe unataka na mimi niikatae bila sababu ya msingi yeyote ?
Kwahiyo Qur'aan ni MWANACHUONI ?unataka kusemaje..?
Jifunze kuweka kila kitu mahala pake.wewe ndo katika wanaosema ukicheza bao ukasema nakula hapa, nasafiri ilhali umefunga unafungua sioo ?
hhaha..
Nimeshakupa sifa zao.wanasifa gani haswaa ili turejee kwao na tuone kwba huyu abdallah saleh kwa kwetu sio mwanawachuoni..?
na f4 itakuwa ya masomo ya art. Kuzunguka kwa dunia zamani nilikuwa syllabus ya shule ya msingi jiografia.Nimeishia form four ila napenda kujua haya mambo,hivyo ukija na porojo ooh huna shule kasome utapoteza muda tu,tujadili hili suala.
Kuhusu jua na mwezi hivi bila shaka vinazunguka na nadharia yake iiko madhubuti kueleweka.lakini hii ya dunia kuzunguka imekaaje mbona inakanganya sana wadau?
Hii dunia kama inazunguka tena kwa spidi kubwa sana inakuwaje wale ambao wanatoka nje ya dunia wakirudi hurudia pale pale tu hata hawatui pengine?
Yaani muweke sisimizi kwenye tufe alafu jaalia pale alipo ndo anatoka duniani anaenda mbali katika sayari zinginee.jaalia umempaisha sasa alafu alipotoka katika anga ya dunia ile dunia(tufe)likawa linazunguka kwa spidi kali sana.umepata picha?.
Sasa je ili arudi na ile kasi ya dunia yenyewe kuzunguka naweza kutua pale pale kweli?
Hawa wanaopaa wannafanyaje mpaka wanaarudi pale pale walipotokea?
Naomba tueleweshane nipo hapa kujifunza wadau.sitaki kejelii
Mokaze
Shark
AL - ANBIYAA - 33
Na Yeye ndiye aliye umba usiku na mchana na jua na mwezi, vyote katika anga vinaogelea.
YA-SIN - 39
Na mwezi tumeupimia vituo, mpaka unakuwa kama karara kongwe
YA-SIN - 38
Na jua linakwenda kwa kiwango chake. Hayo ni makadirio ya Mwenye nguvu, Mwenye kujua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huko nyuma nilikwambia ya kuwa huo sio msingi katika misingi ya kutafsiri aya ya Qur'aan ndio maana nikakwambia hivi angalia mtiririko wa aya na uangalie muktadha wa aya na vipi ilivyofasiriwa.iweke aya sio unaandika tu ukajua umejibu.
nimetaka aya ambayo imeeleza hivyo.
jibu lako sijalielewa kwa sababu hakuna aya.
nimeomba maneno matupu..?
Bado una ruka ruka,nataka unipe aya inayo onyesha Dunia inazunguka.
yani kwa kuwa aya zote zimetaja milima ndo unazibambanisha tu sio.Huko nyuma nilikwambia ya kuwa huo sio msingi katika misingi ya kutafsiri aya ya Qur'aan ndio maana nikakwambia hivi angalia mtiririko wa aya na uangalie muktadha wa aya na vipi ilivyofasiriwa.
Mathalani ukisoma sura ya 55 aya ya 33 unaweza kuniambia aya ina zungumzia wapi Duniani au Ardhini ?
kabla ya yote naomba uniambie hasa hyo namba 3 kwa ushahidi upi au kwa mujibu wa nani..?Kwanza kabisa unatakiwa kujua Elimu inaenda kwa kurithiwa.
Wanachuoni wakubwa wana sifa zifuatazo.
1. Kudumu katika elimu ya dini kwa muda mrefu.
2. Kuandika vitabu.
3. Kupewa ijaza kwa kutambuliwa na wanachuoni wakubwa. Yaani wewe hapo ulipo huwezi kutuambia Shaykh Abdullah Saleh ni mwanachuoni,bila kutupa kauli ya mwanachuoni mkubwa anae sema ya kuwa Shaykh Abdullah Saleh ni mwanachuoni.
4. Lazima awe anawasomesha watu dini na kuwalea katika elimu kwa muda mrefu.
5. Awe na maarifa mapana juu ya Qur'aan na Sunnah na kufata ufahamu wa wema wa walio tangulia.
Kwa uchache hizo ni sifa wanazuoni.
kwani hayo maarifa mapana wewe unayapimaje ?Kwanza kabisa unatakiwa kujua Elimu inaenda kwa kurithiwa.
Wanachuoni wakubwa wana sifa zifuatazo.
1. Kudumu katika elimu ya dini kwa muda mrefu.
2. Kuandika vitabu.
3. Kupewa ijaza kwa kutambuliwa na wanachuoni wakubwa. Yaani wewe hapo ulipo huwezi kutuambia Shaykh Abdullah Saleh ni mwanachuoni,bila kutupa kauli ya mwanachuoni mkubwa anae sema ya kuwa Shaykh Abdullah Saleh ni mwanachuoni.
4. Lazima awe anawasomesha watu dini na kuwalea katika elimu kwa muda mrefu.
5. Awe na maarifa mapana juu ya Qur'aan na Sunnah na kufata ufahamu wa wema wa walio tangulia.
Kwa uchache hizo ni sifa wanazuoni.
niambie wewe mimi sijasrma kitu kuhusu hiyo aya.Huko nyuma nilikwambia ya kuwa huo sio msingi katika misingi ya kutafsiri aya ya Qur'aan ndio maana nikakwambia hivi angalia mtiririko wa aya na uangalie muktadha wa aya na vipi ilivyofasiriwa.
Mathalani ukisoma sura ya 55 aya ya 33 unaweza kuniambia aya ina zungumzia wapi Duniani au Ardhini ?
mkuu kama wa kuelewa angeelewa hii aya ambayo hata sheikh Abdallah saleh kasema kwamba dunia inszunguka..Hapo inaonesha utoto umekujaa, hivi wewe una umri gani??, inawezekana tunajadiliana na mtoto!!!.
Katika hiyo aya 21:33, jua na mwezi vimetajwa kwamba vinazunguka kwa kuelea katika njia yake "falakin"--- sasa dunia siku zote imeambatana na mwezi, (AU KWA UBISHI WAKO NA HILI UKATAE KWAMBA MWEZI NA DUNIA HAVIJA AMBATANA/ MWEZI NI SATELLITE YA DUNIA ), sasa kama mwezi unazunguka katika falaki ni wazi hata dunia itakuwa inaelea ikizunguka kupitia falaki hiyohiyo ya mwezi, ni jambo la akili ndogo kuweza kujua jambo hili, isitoshe usiku na mchana vimetajwa kwenye hiyo aya hapo Allah anataka tujue kwamba licha ya dunia kuogelea na kuzunguka kwenye falaki yake pia hujizungusha ndipo tunapata usiku na mchana.
Katika aya 38: 29, Allah anatunasihi kwa kusema: " Na hiki kitabu tumekutetemshia kimebarikiwa ili WAZINGATIE aya zake na wakumbushwe WENYE AKILI.
Qur'an ni kitabu cha watu wanaotumia akili.
Kstika sayansi, Nguvu za uvutano, the universal gravitation zinatii kanuni hii;-
F= GMm/r² ambapo, F ni nguvu ya uvutano kati ya vitu viwili katika suala letu ni kati ya jua na dunia iliyoambatana na mwezi., M ni mass ya jua, m ni mass ya dunia na r ni umbali kutoka katikati ya jua kuja hadi katikati ya dunia, ili dunia iliyoambatana na mwezi vibakie katika falaki yao ni lazima kuwepo na balancing force/counter force hivyo basi ni lazima vizunguke /revolve along the orbit na hivyo kutengeneza counter force/ centripetal force;
F=mrw² , ambapo m ni mass ya dunia, r ni umbali kutoka katikati ya jua kuja hadi katikati ya dunia, w ni angular velocity ya dunia ikiambatana na mwezi kwenye falaki yake vinapolizunga jua.
Kama kusingekuwa na hiyo conterforce basi dunia ingevutwa na jua kwa force ile pale juu kabisa na ingetumbukia kwenye jua kama kwamba jiwe umelitupia kwenye bwawa la maji, lakini kumbuka moto wa jua ni nuclear reaction, joto lake kwenye kiini ni temperatute tskriban 1,000,000 °C, hivyo dunia haiwezi kufika kwenye uso wa jua kabla haijawa mvuke.
Hiyo ndiyo sayansi kiduchu tukuhusiana na mzunguko wa dunia kuzunguka jua, kwani kuna sayansi zaidi ya hiyo.
Qur'ani ni kitabu mujarabu licha ya sisi wenyewe Waislamu kukipuuza, mtume atasema; yaa rabbi inna qaumi takhadha hadha alqur'an mahajuurah, Ewe mola wangu hakika watu wangu wameifanya hii Qur'an kitu kilichoachwa/cha kupuuzwa/kisichofaa.
Zurri unataka kuondoa uzuri wa Qur'an, labda unataka uzuri wa vitabu vingine ambao haupo utamalaki,[emoji1787][emoji1787]
Nakukunbusha tu,kwanza tangu jana nilikuambia unithibitishie ya kuwa Dunia inazunguka kwa mujibu wa Sayansi najua hili huliwezi na nitakuuliza pia maswali maana naona umeingia kwenye mambo ya "Universal Gravitational Force" nakuja huko,namalizia hapa kwanza. Umenukuu aya tangu jana lakini nimekuonyesha ya kuwa haionyeshi ya kuwa dunia inazunguka,lakini kwa uchache wako wa maarifa hulioni hilo na unataka kulazimisha maana ambazo hazina asili.Hapo inaonesha utoto umekujaa, hivi wewe una umri gani??, inawezekana tunajadiliana na mtoto!!!.
Kuambatana unako dai wewe sio kweli sababu Mwezi una njia na unafata amri ya Allah,na nani amekwambia kwamba Dunia siku zote imeambatana na mwezi ? Swali kwenye njia au kwenye mwendo ?Katika hiyo aya 21:33, jua na mwezi vimetajwa kwamba vinazunguka kwa kuelea katika njia yake "falakin"--- sasa dunia siku zote imeambatana na mwezi,
Haya maneno amekwambia nani ? Na unaweza kuthibitisha ukweli wake kwa kutumia misingi gani ?(AU KWA UBISHI WAKO NA HILI UKATAE KWAMBA MWEZI NA DUNIA HAVIJA AMBATANA/ MWEZI NI SATELLITE YA DUNIA ),
Acha uvivu toa ushahidi wa maneno haya,usileta habari za kama A ana tembea na B anatembea basi A ni sawa B. Huu ni uvivu wa kufikiri na kutumia akili vibaya.sasa kama mwezi unazunguka katika falaki ni wazi hata dunia itakuwa inaelea ikizunguka kupitia falaki hiyohiyo ya mwezi,
isitoshe usiku na mchana vimetajwa kwenye hiyo aya hapo Allah anataka tujue kwamba licha ya dunia kuogelea na kuzunguka kwenye falaki yake pia hujizungusha ndipo tunapata usiku na mchana.
Katika aya 38: 29, Allah anatunasihi kwa kusema: " Na hiki kitabu tumekutetemshia kimebarikiwa ili WAZINGATIE aya zake na wakumbushwe WENYE AKILI.
Qur'an ni kitabu cha watu wanaotumia akili.
F= GMm/r² ambapo, F ni nguvu ya uvutano kati ya vitu viwili katika suala letu ni kati ya jua na dunia iliyoambatana na mwezi., M ni mass ya jua, m ni mass ya dunia na r ni umbali kutoka katikati ya jua kuja hadi katikati ya dunia, ili dunia iliyoambatana na mwezi vibakie katika falaki yao ni lazima kuwepo na balancing force/counter force hivyo basi ni lazima vizunguke /revolve along the orbit na hivyo kutengeneza counter force/ centripetal force;
F=mrw² , ambapo m ni mass ya dunia, r ni umbali kutoka katikati ya jua kuja hadi katikati ya dunia, w ni angular velocity ya dunia ikiambatana na mwezi kwenye falaki yake vinapolizunga jua.
Kama kusingekuwa na hiyo conterforce basi dunia ingevutwa na jua kwa force ile pale juu kabisa na ingetumbukia kwenye jua kama kwamba jiwe umelitupia kwenye bwawa la maji, lakini kumbuka moto wa jua ni nuclear reaction, joto lake kwenye kiini ni temperatute tskriban 1,000,000 °C, hivyo dunia haiwezi kufika kwenye uso wa jua kabla haijawa mvuke.
Zurri unataka kuondoa uzuri wa Qur'an, labda unataka uzuri wa vitabu vingine ambao haupo utamalaki,🤣🤣
Uwe unanukuu matini ya kiarabu au kuweka tarjama hivi unakuwa unapoteza maana ya aya,kwani unaandika kinyume na ilivyo matini.Qur'ani ni kitabu mujarabu licha ya sisi wenyewe Waislamu kukipuuza, mtume atasema; yaa rabbi inna qaumi takhadha hadha alqur'an mahajuurah, Ewe mola wangu hakika watu wangu wameifanya hii Qur'an kitu kilichoachwa/cha kupuuzwa/kisichofaa.