Wewe ulisema Big Bang na Black Hole imeelezewa katika Qur'aan mimi nikasema hakuna hizo habari katika Qur'aan,mintarafu Big Bang nilikueleza huko nyuma Wanasayansi hawaelezi ni kwanini na nani aliye sababisha hilo,kufanya kwao hivyo kunaondoa uwepo wa Big Bang katika Qur'aan kwani kitendo kile ni Allah aliziachanisha kwa amri yake.Mbona sasa hueleweki tena?!!, mimi nilikuambia kuwa maelezo ya wanasayansi juu ya the Big bang na the black hole "yanalandana" na maneno ya Qur'an - wewe ukasema sikuwaelewa hao wanasayansi ndipo nikataka wewe sasa unieleweshe jinsi ulivyowaelewa, sasa hutaki ?!! 🤣🤣.
Hili swali sistahili nilijibu,mimi nakuhoji wewe unae sema ya kuwa kwenye Qur'aan kuna Big Bang na Black Hole zimelezewa,wakati hata Tafsiri ya Qur'aan huijui,hii ni ajabu ninayo ona kwako.Hii inaonyesha unapinga kitu usichojua KABISA. Wanasayansi wanasemaje juu ya the Big bang na the black hole??, kama hujui utasemaje maelezi yao hayafanani na Qur'an??.
(ANNABAA - 20)
Na milima itaondolewa na itakuwa kama sarabi
ni ayagani Allah kajisifia ufundi wa kuumba alafu iwe hilo tukio la kujisifia kwake linagusia siku ya kiama...?
kama ipo nipe hapa.
Allah akijisifia ufundi wake wa kuumba basi jua hilo linafidisha kabla ya kiama katika maisha ya kila siku.
aya zenyewe zinakwenda tofauti na ile aya ya 88.Aya ya 88 inasema ya kuwa USIONE milima imetulia HIYO INAKWENDA. kwa maana ina move..
sasa aya unazozitoa zinaenda kinyume na aya hiyo ati mfano
وَإِذَا الْجِبَالُ سُيِّرَتْ
(ATTAKWIR - 3)
Na milima ikaondolewa,
Laiti kama ungekuwa makini na yale maelezo nikiyokupa usingeuliza maswali ya aina hii,yanaonyesha huna ekimu ya Tafsiri ya Qur'aan.sasa aya hii ya 10 nxo inaelezea kiama ya kuwa milima itakuwa inakwenda kwa mwendo mkubwa tofauti na mwendo wake wa kawaida katika aya ya 88 ya annaml.
sasa sioni mafungamao ya hizo aya na ile aya ati kuwa ina, ungumzia kiama.
kama ni hivyo ipi maana ya Allah kusema kuwa milia inakwenda kama mawingu yanavyokwenda..?
hayo mawingu yanakwenda siku ya kiama au yanakwenda hapa nyaksti hizi kabla ya kiama..?
(each in an orbit floating.) means, revolving. Ibn `Abbas said, "They revolve like a spinning wheel, in a circle.''
Maneno yako wazi kaka. Naona umesahau kazi yako sio ? Nakukumbusha tu,wewe ulisema aya hiyo inaonyesha Dunia inazunguka,nikasema hapana,nimeonyesha kinachozunguka ni nini kwa mujibu wa athari,sasa unavyotaka tena mimi nikuelezee naona unanipotezea muda wakati unacho kidai hakipo hapo.Sasa toa tafsiri ya hayo maneno, hapo juu. Na uniambie yanahusu nini??
Wewe hata la saba hukumalizaNimeishia form four ila napenda kujua haya mambo,hivyo ukija na porojo ooh huna shule kasome utapoteza muda tu,tujadili hili suala.
Kuhusu jua na mwezi hivi bila shaka vinazunguka na nadharia yake iiko madhubuti kueleweka.lakini hii ya dunia kuzunguka imekaaje mbona inakanganya sana wadau?
Hii dunia kama inazunguka tena kwa spidi kubwa sana inakuwaje wale ambao wanatoka nje ya dunia wakirudi hurudia pale pale tu hata hawatui pengine?
Yaani muweke sisimizi kwenye tufe alafu jaalia pale alipo ndo anatoka duniani anaenda mbali katika sayari zinginee.jaalia umempaisha sasa alafu alipotoka katika anga ya dunia ile dunia(tufe)likawa linazunguka kwa spidi kali sana.umepata picha?.
Sasa je ili arudi na ile kasi ya dunia yenyewe kuzunguka naweza kutua pale pale kweli?
Hawa wanaopaa wannafanyaje mpaka wanaarudi pale pale walipotokea?
Naomba tueleweshane nipo hapa kujifunza wadau.sitaki kejelii
Mokaze
Shark
AL - ANBIYAA - 33
Na Yeye ndiye aliye umba usiku na mchana na jua na mwezi, vyote katika anga vinaogelea.
YA-SIN - 39
Na mwezi tumeupimia vituo, mpaka unakuwa kama karara kongwe
YA-SIN - 38
Na jua linakwenda kwa kiwango chake. Hayo ni makadirio ya Mwenye nguvu, Mwenye kujua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Maneno yako wazi kaka. Naona umesahau kazi yako sio ? Nakukumbusha tu,wewe ulisema aya hiyo inaonyesha Dunia inazunguka,nikasema hapana,nimeonyesha kinachozunguka ni nini kwa mujibu wa athari,sasa unavyotaka tena mimi nikuelezee naona unanipotezea muda wakati unacho kidai hakipo hapo.
Hayo maneno ya swahaba Ibn Abbas na huyu aliombewa dua na mtume juu ya yeye kuielewa Qur'aan kwa maana zake zote,hapo amezungumzia Jua na Mwezi kama aya hiyo ya sura ya 21 aya ya 33 ilivyoelezea.
Sasa,nakurudisha nyuma tulip toka,nionyeshe katika hiyo aya wapi imeonyesha dunia inazunguka ?
Uliyoyataka nimekuonyesha,sasa zamu yako unionyeshe wewe,umetaka rejea nimekupa.
nakuambia nimezisoma aya zote sijaona mlingano wa kuwa ati aya inafidosha siku ya kiama.Laiti kama ungekuwa makini na yale maelezo nikiyokupa usingeuliza maswali ya aina hii,yanaonyesha huna ekimu ya Tafsiri ya Qur'aan.
Huko nyuma nilikwambia ya aya ya 88 inachukua kile kilicho kuja kabla ya ke yaani aya ya 87 na ya mbele yake kadhalika. Kisja wanachuoni wa Tafsiri wakaifasiri aya hiyo kwa kuipa nguvu kwa hizo aya nyingine nilizo kuonyesha.
Sasa kwa faida yako,soma aya ya 87 na aya baada ya 88 uone kinachozungumziwa haoo ni nini ?
mwanachuoni aliyenitangulia ni AYA HIYO HIYO YA QURANI.Laiti kama ungekuwa makini na yale maelezo nikiyokupa usingeuliza maswali ya aina hii,yanaonyesha huna ekimu ya Tafsiri ya Qur'aan.
Huko nyuma nilikwambia ya aya ya 88 inachukua kile kilicho kuja kabla ya ke yaani aya ya 87 na ya mbele yake kadhalika. Kisja wanachuoni wa Tafsiri wakaifasiri aya hiyo kwa kuipa nguvu kwa hizo aya nyingine nilizo kuonyesha.
Sasa kwa faida yako,soma aya ya 87 na aya baada ya 88 uone kinachozungumziwa haoo ni nini ?
kwani kitu kikifanywa kwa amri ya Allah maana yake ndo ni wakati wa kiyama au sijaelewa umekusudia nini mkuu ?Nimekuuliza swali rahisi sana lakini hujalijibu,nimekuuliza hivi ni mwanachuoni gani aliye kitangulia katika kauli yako hii au hizi ?
Inaonekana hujasoma aya za uumbaji,soma hizo aya vizuri utaona kuwekwa kwa milima na kuondolewa kute kunafanyika kwa amri ya Allah.
Rejea aya aliyo elezea kuziita mbingu na zikaja,kadhalika kwa kuondolewa ni kwa amri ya Allah na vitaondoka,hapa haweza kuwa kuondolewa kwa kuondoka baada ya kupewa amri na Allah aliye juu,kwa maana hiyo aya inakusudia siku ya Kiyama.
[emoji28][emoji28][emoji28]Soma:
(1) Newton's 1st Law of Motion
(2) Gravitation
(3) Rotational Dynamics
mkuu huyo ni swalehe au[emoji28][emoji28][emoji28]
Dah mzee mtu kama hajasoma rotational dynamics
Au hajui hata newtons law of gravity ni ngumu sana kukuelewa
Ndo maana mi siwezagi kubishana na mtu anayesema duniani haizunguki kwanza naonaga ni utoto mani
Yaani aisee ni ukichaa mwana sayansi mwenzangu anikute hapa nabishana na watu wanaosema jua ndo linazunguka aisee [emoji28][emoji28]
Maneno yako wazi kaka. Naona umesahau kazi yako sio ? Nakukumbusha tu,wewe ulisema aya hiyo inaonyesha Dunia inazunguka,nikasema hapana,nimeonyesha kinachozunguka ni nini kwa mujibu wa athari,sasa unavyotaka tena mimi nikuelezee naona unanipotezea muda wakati unacho kidai hakipo hapo.
Hayo maneno ya swahaba Ibn Abbas na huyu aliombewa dua na mtume juu ya yeye kuielewa Qur'aan kwa maana zake zote,hapo amezungumzia Jua na Mwezi kama aya hiyo ya sura ya 21 aya ya 33 ilivyoelezea.
Sasa,nakurudisha nyuma tulip toka,nionyeshe katika hiyo aya wapi imeonyesha dunia inazunguka ?
Uliyoyataka nimekuonyesha,sasa zamu yako unionyeshe wewe,umetaka rejea nimekupa.
Inaonekana mgeni wa kusoma Tafsiri,soma tena utaona,siwezi kuzua kaka. Hutakiwi kuwa mvivu.Nimefungua tafsir ibn kathir ya kiingereza chini ya hiyo aya 21:33, wala sikuona maelezo yoyote, hayo maelezo umeyapata wapi??.
Hajaeleza jambo lolote.juu ya hiyo aya ipo tarjama tu.
Kama hujaona,ituhumu elimu yako au maarifa kwa kiwa madogo kug'amua kilicho andikwa humo.nakuambia nimezisoma aya zote sijaona mlingano wa kuwa ati aya inafidosha siku ya kiama.
Sijasema wala kukusudia hilo,hapo nilikuwa naonyesha uelewa wako mbaya katika aya iliyozungumzia kuondolewa kwa milima,nikakuonyesha kwa kurejea amri ya Allah kwa viumbe hivyo,kwahiyo pindi vinavyo ondoka vinakuwa vimetii amri ya amri yao na lazima vitaitwa vyenye kuondoka a vitakuwa katika mwendo.kwani kitu kikifanywa kwa amri ya Allah maana yake ndo ni wakati wa kiyama au sijaelewa umekusudia nini mkuu ?
Dah mkuu ni ngumu sanamkuu huyo ni swalehe au