Exactly, hulka za madicteita😂mambo ya Idd amin
Yaani kama vile anagawa kuku wake kutoka bandani! Tumeliwa sana watanzania. johnthebaptist".......yupo DAS nasikia anamapungufu ya kimaadili, anachukua wake za watu, sasa natengua uteuzi wake, RC nani unadhani anawezaweza hii kazi?"
RC: Yupo afisa tawala wa wilaya anaweza.
Rais; Mama unaelimu gani?
Mteule; Nina masters in Public administration.
Rais; Umeteuliwa kuwa DAS kuanzia sasa. Mwandikieni barua huyu mama hii leo, mambo mengine tunayamaliza hapahapa. *Sasa na ninyi mkagombanie wanaume na mkuu wa wilaya*
Unajua hata kununua upinzani ilianzia Zaire, mambo ya vita ya uchumi ilianzia Uganda, kusifu na kuabudu hivo hivoExactly, hulka za madicteita
This is new news to me! but it is no wonder kwa madikiteitaunajua hata kununua upinzani ilianzia Zaire,
Na bado, akipita tena safari hii ndio imekula kwetuYaani kama vile anagawa kuku wake kutoka bandani! Tumeliwa sana watanzania. johnthebaptist
Mkuu maneno ya kwenye huu uzi hapo mwisho mimi yamenishangaza sana, hakuna rais anaongeaka hiviThis is new news to me! but it is no wonder kwa madikiteita
Kuna maneno mengine si ya kuongea kwenye kadamnasi ukiwa na wadhifa fulani wa juu!mkuu maneno ya kwenye huu uzi hapo mwisho mimi yamenishangaza sana, hakuna rais anaongeaka hivi
Hesabu imeshakula kwetu maana atapitana bado, akipita tena safari hii ndio imekula kwetu