Marcostilone
JF-Expert Member
- Jun 25, 2023
- 7,018
- 17,895
Unaweza kuthibitisha vipi kuwa ulicho gundua kuhusu haya makanisa ni sahihi zaidi? au ni tafsiri yako binafsi tu?Sio mbaya sana, ila kwenye dini hapo ongeza juhudi utakuja kugundua zaidi ya ulichogundua na utaachana na kwenda kanisani na ukatoliki wako! Nami nilikuwa mkatoliki lakini nimeenda zaidi ya wewe.
Ulitafuta ajira miaka mingapi?AJira mkuu. ..jiwe moja tu nkazama kazini japo nilishatubu naomba isije kujirudia tena
Haya mambo kama huyaelewi utaona nimechanganyikiwa tuUlitafuta ajira miaka mingapi?
Hatimaye ulipata ajira kwa kupita interview, ulipata connection au ulipewa kazi tu bila kujua umepewaje bila interview au connection?
Sijakuelewa,Haya mambo kama huyaelewi utaona nimechanganyikiwa tu
Anyway mm kazi zangu ni za mkataba tu ila kwa fani yangu na level niliyofikia(cheti) nipo kwa market sana yan kaz nazipumzisha mm ila nilinuiziwa vibaya mambo yakaharibika
Ni sawa na ww upo barabaran na V8 halaf vipaso vinakuwashia indicator tu unajaribu kukanyaga mafuta lakini unaona mshale haupandi inavyotakiwa, lazma utashuku uchunguze gari lako na kulifanyia marekebisho
Hopefull utakuwa umenielewa
Sijakulazimisha na hapa sipromote uchawi soma vizuri nimeongelea kuhusu hizo nguvu zipo ila ni kinyume na aliyetuumbaSijakuelewa,
Kwako hakuna hata story ya kueleweka au kushawishi kuunganisha au kuupa promo uchawi au uganga hata tone. Huu ni uzi fluff tu.
Hakuna uchawi.Kwa vp afrika ingekuwa tajiri kupitia huo uchawi kama kweli uchawi ungekuwepo na unafanya kazi?
Shuhuda au hadithi na stori za mitaani?Kwahiyo huwa ni nini kinatokea, maana shuhuda ni nyingi na zote unazipinga🤗
ShuhudaShuhuda au hadithi na stori za mitaani?
page 5 hii mkuu, mtoa mada anaelemewaShuhuda
Unathibitishaje hicho unacho kiita uchawi, ni uchawi kweli, na si maarifa ambayo wewe huyaelewi?Shuhuda
Wala hata ninasoma tu maswali yenu nashindwa kujibu kwasabau jambo la kiroho mnataka ushahidi wa kuonekanapage 5 hii mkuu, mtoa mada anaelemewa
Hayo maarifa mnayaitwa mzingaombwe mara ugonjwa wa akili?Unathibitishaje hicho unacho kiita uchawi, ni uchawi kweli, na si maarifa ambayo wewe huyaelewi?
sawa mkuuWala hata ninasoma tu maswali yenu nashindwa kujibu kwasabau jambo la kiroho mnataka ushahidi wa kuonekana
Hata hiyo sayansi kuna vitu inathibitisha vipo kwa athari zake tu na sio kuviona wala kuvigusa
Hakuna mtu aliyetaka hata uthibitisho wa kuonekana, pia katika Sayansi kuna namna nyingi sana za uthibitisho mpaka mathematical equations.Wala hata ninasoma tu maswali yenu nashindwa kujibu kwasabau jambo la kiroho mnataka ushahidi wa kuonekana
Hata hiyo sayansi kuna vitu inathibitisha vipo kwa athari zake tu na sio kuviona wala kuvigusa
Sawa hakuna uchawi kama usememavyo na kigezo chako ni kwamba afrika kutokuwa tajiri kwa maana uchawi ungekuwepo afrika ingekuwa tajiri, ndio nakuuliza kama huo uchawi ungekuwepo kweli je ungewezaje kufanya afrika kuwa tajiri?Hakuna uchawi.
Ndio maana nakwambia ni vyema ukaachana na habari za kusikia tu kisha unatoa hitimisho kupitia habari za kusikia, wengine tunatamani sana kuona watu kama nyie mkija humu kuelesea matukio mliyoyashuhudia nyie wenyewe yenye kuhusishwa na uchawi kisha mkayafafanua ni kwa vp si uchawi kama watu wanavyoamini bali ni nini hasa.Sijakuelewa,
Kwako hakuna hata story ya kueleweka au kushawishi kuunganisha au kuupa promo uchawi au uganga hata tone. Huu ni uzi fluff tu.
Sasa na yeye akikuuliza swali kama hilo utajibu nini? Yani akikuuliza unahakika gani hakuna uchawi na si kwamba kutokujua kwako tu maarifa ya uchawi ndio kunafanya useme hakuna uchawi utajibu nini?Unathibitishaje hicho unacho kiita uchawi, ni uchawi kweli, na si maarifa ambayo wewe huyaelewi?