Smart Contract
JF-Expert Member
- Sep 24, 2014
- 1,472
- 3,534
Unaelewa nini maana ya elimu ni bahari?? Njoo Zanzibar, sehemu inaitwa Matemwe nikuonyeshe uchawi kwa macho yako ,halafu uje uhadithie humu.mpaka najiuliza mtu anawezaje kuamini ujinga wa jinsi hii wa wazi kabisa.
Kumroga mtu mwingine ndiyo kufanya nini?Hata kwa mambo ambayo mtu anategemea kuona matokeo ya hiyo nguvu ya uganga nje ya huyo mtu? Mfano kwenda kumroga mtu mwengine?
Ndio maana nasema mnajadili kwa kukariri tu, wewe ungekuwa umeyaishi hapo si ndio ungeonyesha experience yako na ukaeleza ukweli ukoje baada ya kuwa wewe umeyapitia hayo ila haufanyi hivyo unaishia kupinga na kudai uthibitisho tu kana kwamba hayo mambo ni mapya.Hakuna cha kukariri hayo maujinga ujinga ya ndoto sijui uchawi , nimeyaishi sana , na nina miaka ya kutosha humu dunian , hayana maana yoyote zaidi ya maujinga ujinga tu , ukiambiwa uthibitishe utaleta blabla tu ambazo pia hata sio ngeni ni masimulizi tu
🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮Ndio maana nasema mnajadili kwa kukariri tu, wewe ungekuwa umeyaishi hapo si ndio ungeonyesha experience yako na ukaeleza ukweli ukoje baada ya kuwa wewe umeyapitia hayo ila haufanyi hivyo unaishia kupinga na kudai uthibitisho tu kana kwamba hayo mambo ni mapya.
Hayo mambo ya ndoto wamedili nayo wanasaikolojia maarufu duniani toka enzi hizo, sasa hadi leo bado unataka tubishane kuhusu uthibitisho? Huko ndio nakuita kujadili kwa kukariri.
Wewe umesema umeyapitia hayo mambo hivyo ndio vizuri ueleze experience zako ambazo ndio zimejenga huo msimamo uliyonayo na sie tueleze kwa upande wetu ila sio kila siku mmekariri neno moja tu uthibitisho, cha ajabu wengine hata hawaelewi huo uthibitisho nafasi yake ni ipi na wala haelewi kwamba kuna aina tofauti za uthibitisho kutokana na issue husika.
Kwahiyo mkuu njoo tumia huo uzowefu kwenye hayo mambo ya uchawi na ndoto kuelezea kwa vp hayo mambo ya ujinga tu, hayo ndio nayataka mimi ila sio unajificha kwenye uthibitisho tu.
Kumsababishia mtu mwengine madhara kwa njia ya uchawi, mfano maradhi,ajali n.kKumroga mtu mwingine ndiyo kufanya nini?
🚮Kumsababishia mtu mwengine madhara kwa njia ya uchawi, mfano maradhi,ajali n.k
Mkuu unanipa tu mafumbo after fumbo as if najua unahokijua.Kumsababishia mtu mwengine madhara kwa njia ya uchawi, mfano maradhi,ajali n.k
Ni maujinga ujinga tu , kuna mtu alijifungua mtoto wenye malformations fulani akawa ana sema ni mapepoUchawi ni nini?
Nilichojifunza ni kwamba mnaogopa challange kwenye misimamo mliyonayo.🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮
Hauna challenge yoyote , ni maujinga ujinga tu unataka tuyaamini , nipo napata zangu kinywaji,sina mda wa kujadiliNilichojifunza ni kwamba mnaogopa challange kwenye misimamo mliyonayo.
Tushie hapa mkuu.Naona mafumbo after fumbo.
Uchawi ni nini?
Acha kuniita kuja kuangalia mazingaombwe ya kitoto, Kuna mazingaombwe makubwa kuliko hayo. Hizo ni Stage illusions magic tricks tuUnaelewa nini maana ya elimu ni bahari?? Njoo Zanzibar, sehemu inaitwa Matemwe nikuonyeshe uchawi kwa macho yako ,halafu uje uhadithie humu.
Uliwahi kuona ngamia anazama ardhini mwenyewe na kupotea?? Njoo ujionee kwa macho yako kinachofanyika mpaka anazama mwenyewe.
Tupunguze ujuaji kwenye vitu ambavyo hatuna uwezo navyo coz elimu ni bahari.
Yaani wewe hujiulizi Rais wa nchi anavalishwa mangozi ya wanyama na kusimikwa uchifu kila anapokwenda, unafikiri ni kawaida ile??
Yaani wewe na kidigrii chako au kimaster unahisi unajua kuliko serikali plus wale wazee??
Inapofikia hatua matatizo ya watu ya kisaikolijia yanatafsiriwa kiimani imani tu,Ni maujinga ujinga tu , kuna mtu alijifungua mtoto wenye malformations fulani akawa ana sema ni mapepo
Ukimwi walidai ni uchawiInapofikia hatua matatizo ya watu ya kisaikolijia yanatafsiriwa kiimani imani tu,
Tunapoteza uwezo wetu wa kufikiri na kutatua changamoto.
Kwasababu huna uhakika na unachokiandika,Tushie hapa mkuu.
Sasa mie ndio niliyoleta huu uzi hapa kukuaminisha? Mie nachangia mada kama wewe tu au kutofautiana mitazamo ni kosa?Hauna challenge yoyote , ni maujinga ujinga tu unataka tuyaamini , nipo nakunywa zangu pombe sina mda wa kujadili
Nakumbuka hii,Ukimwi walidai ni uchawi
Mbona hamsemi kuwa wapo wenye kudai hakuna virusi vya ukimwi?Ukimwi walidai ni uchawi