Dunia ikuchanganye na mwanamke naye akuchanganye !

I can't hide my self, I don't expect you to understand,
But I hope I can explain, what it's like to be a man.~dax(to be a man)
 
Ujue hawa wanawake usipokuwa na msimamo anakuendesha apendavyo,alafu mwanamke usimpende kupita kiasi maana mwanamke akishajua unampenda sana anaviiimba na atakufanyia vituko maana anajua huna cia kumfanya

Kiufupi uwe 50/50
Well said 😁
 
Kuna jamaa yangu mmoja alizinguana na mke wake usiku,mke wake akatishia kwenda kwao

Ilivyofika asubuhi jamaa akamwambia kama umeamua kwenda kwenu fresh akampa nauli alafu jamaa akatembea kwenye mishe zake.

Jamaa alivyorudi mchana akakuta mke wake ashapika na chakula kabisa hakuondoka

Kwahiyo msimamo unatakiwa usimtetemekee mwanamke
Bila msimamo kwisha habari
 
Mbinu na medani za kivita nilizonazo sahivi laiti ningekua nazijua miaka 10 nyuma ningeishi
raha mustarehe ila fresh utu uzima dawa hakuna mwalimu bora zaidi ya muda.

Nathubutu kusema jithamini kwanza weka kikomo kwamba hapa hakuna binadamu yeyote anaeweza vuka hapa kucheza na amani ya nafsi yangu lasivo majuto ni mjukuu.
 
Well said
 
Ukianza kulalamika ( Huzunika ) jua ushaacha kwenda kwa akili sasa unaenda kwa Hisia.

Huzuni ndio kifo cha kimya kimya kwa wanaume wengi.
 
Unayemwona ni mlevi na kila siku anarudi nyumbani kwake kalewa, ila familia anaiachia mahitaji fresh. Unafikiri wanapenda kulewa? Wengine wanaona bora walewe wakifika ni kulala tu waepuka makelele, hata wikiendi hawakai nyumbani wanatoka mapema.

Wapo ambao wamepatwa na kisukari, vidonda vya tumbo, shinikizo la damu kisa mambo ya nyumbani tu. Hawezi kusema popote sababu wanaume tunaficha mengi sana, msongo wa mawazo kila kukicha unammaliza mtu taratibu.

Wengine wapo kwenye ndoa zao kisa watoto tu wakue vizuri, bila hivyo wangeshaondoka na kushika njia zao. Ila na watoto wakikua nao wanalishwa sumu na kuwaona wao wabaya, tabia ile ya ulevi na kuchelewa kurudi wanawahukumu nayo hawajui kwanini wapo hivyo.

Hata akiishi muda mrefu;
Unakuta anakuja kujistaafia kajitoa hasa kuhakikisha watoto wanasoma na kufikia pazuri ila hakuna anayemjali hata mmoja, sababu washalishwa sumu wao ni mama tu na kumpa msaada. Wakati alibaki na mama yao tu ili wakue tu na alikuwa na chaguo la kuachana nao kisa vitimbi vyake.
Kwa kweli
 
Well written
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom