Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 41,322
- 71,561
Mwanzo wakati wa uchumba alikuwa hivyo? Nini kimebadilika?Wakuu habari !
Maisha kwa mwanaume kamwe hayajawahi kuwa rahisi in everything. Unatoka alfajiri na mapema kwenda kusaka mkate wa familia then unarudy om unakutana na makelele kutoka kwa wife 💔 haulizi umeshindaje wala habari za kazi unakutana na magic ambazo hazina msingi now ndo nakumbuka why father akikuwa anarudy saa 7 usiku kuishi na haya viumbe 🙌🙌 mungu asaidie #marriage is not for the weak one💔