Dunia hii

Sana mkuu na yanashangaza sana. Mfano kuna punga moja lina kazi nzuri na elimu nzuri, sa mwezi ulioisha wazazi wake ndo wamejua tabia zake. Mama ake mbona alizirai kwa mshtuko
Wanaume wanaowalawiti watoto wa kiume nao wanaongeza intensity ya tatizo hili.
 
Kwani unawafahamu mkuu?
Kuna story inafanana na hiyo; wahusika wako Arusha. Hapo siri hamna maana katika kuomba ushauri siri haipo tena.
Note: niliipata kwa colleague wangu ambae ni rafiki yake na huyo mwanamke ambae anapigiwa mumewe
 
sasa hivi mashoga wamekua wengi sana, kuna jamaa mmoja ambaye ni bosi flani kwenye moja ya makampuni ya simu, akishalewa matako humuwasha anabanduliwa hadi na watoto wadogo, ukimuona akiwa anaongea na waandishi wa habari ni bonge la gentleman ila sasa ukutane nae usiku hadi sauti inakua ya kike, anachofanya anawanunulia sana pombe alafu anachukua basha wake anaenda kugongwa, mara ya mwisho juzi baada ya idd saa mbili usiku amegongwa kichakani gari kapaki pembeni!
 

duuuuuu, ndio ishatokea umejua too late basi kuanzia sasa iwe business relationship, vacay kila kona ya dunia, fund my business, dada apate side nigga on the dl ila "hubby" amjue kabisa sije wakashikana mashati, lazima afanye detox aisee. Wamerekani wanasema, "his beard" lol
 
Labda kama siwatanzania sina cha kuwashauri kwa sababu huenda maadili ya kwao ni ruksa kufanya hivyo! Ila kwa maadili ya Tanzania ni Marufuku na ni kinyume na maadili ya nchi yetu!
 
Namfahamu huyo jamaa
Nitoboeeee
 
Ningemshauri aanze mwendo! Mwisho wa siku atashindwa kujua ni mke mwenza au mume mweza kwa mumewe au both!
 
Aisee duniani Kuna Mambo
 
Mkuu watoto wa kiume wa magetini sikuhizi wanaharibiwa shule ni hasa boarding schools. Fikiria unalipa ada millions 20 kwa mwezi update punga
Ni kweli shule pia zinachangia but pia mtoto wa kiume kupenda mambo ya kike like kucheza nao muda wote michezo ya kike
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…