Dunia hii

Sasa kaambiwa atunze siri wakati wewe tayari unajua!!! Au wewe ndio shost mwenyewe???
Mkuu sikuhizi inabidi story ninyapie nyapie hawafunguki kama siku zile na mimi nilivyo loyal kwenu ninazileta kama zilivyo
 
Mkuu sikuhizi inabidi story ninyapie nyapie hawafunguki kama siku zile na mimi nilivyo loyal kwenu ninazileta kama zilivyo
Mwambie kwakuwa kutunza siri ashashindwa basi achague kati ya talaka au aendelee na ndoa yake.
 
Sky Eclat kwamara nyingne na visa vya mitaan
 

Anatiwa charge battery low !
 
Kwani unawafahamu mkuu?
Hapana Sina ninayemfahamu ila naamini kuna yule unayemwamini utamwambia au umemwambia anaye anaye hivyo hivyo ndivyo habari inavyosambaa mpaka mwisho unakuta habari iko uchi
 
Is she a gold deeger? Definitely she is. Atulie tu ili apate huo mkwanja
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…