Ujitahidi basi usiku utuwekee hata mojaMkuu Shunie Gadget yangu Battery low nikifika home usiku nacharge halafu natupia mzigo!View attachment 780106
Saa 6 usiku na dakika 1 natupia Shunie!Mh
Kwahiyo hii jumamosi ulimaanisha sawa bwana
Haa haaa nimeishia kuchekaKhaaaaa mbona masharti jamani
Kama ya mgangaYanachekesha mama eti saa sita usiku na dk 1 sijui ndio masharti aliyopewa huko
Sipotei tena maa.Jamani usipotee sana huku mambo ni moto



godwin masikini sijui atachomoka safari hiiYaan hata hatujui ngoja tuone
Haaaahaaaaaaaa nasomaga sana dada angu story nyingi kila cku tena ila sometimes nabanwa kabla sikuwa na account Jf ko nikawa natumia opera ambayo uruhusiwi KUKOMENTKumbe wasomaji wa kimya kimya mpo