Dunia haina usawa

Dunia haina usawa

Acha tu napenda hizi mambo sana hapa mpaka kieleweke.
[emoji23][emoji23][emoji23] nakuona siku nitakapoanza kukupa arosto nitaijua rangi yako halaf huyo mtoto kwa avatar mmefanana anaonekana nunda kama wewe[emoji57]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] nakuona siku nitakapoanza kukupa arosto nitaijua rangi yako halaf huyo mtoto kwa avatar mmefanana anaonekana nunda kama wewe[emoji57]
[emoji23][emoji23] sasa hapo kwenye arosto tuheshimiane kabisa,hizi hadithi zinapunguza maumivu ya jua. Mimi Nunda kuzidi huyo dogo[emoji2]
 
[emoji23][emoji23] sasa hapo kwenye arosto tuheshimiane kabisa,hizi hadithi zinapunguza maumivu ya jua. Mimi Nunda kuzidi huyo dogo[emoji2]
Na hii story nahisi badae itakuwa na arosto shigongo mwenyewe bado hajaimalizia ila mtanisamehe tu jamani kamoja tu [emoji85][emoji85][emoji85] kwahiyo umemzidi ununda huyo mtoto wako
 
Na hii story nahisi badae itakuwa na arosto shigongo mwenyewe bado hajaimalizia ila mtanisamehe tu jamani kamoja tu [emoji85][emoji85][emoji85] kwahiyo umemzidi ununda huyo mtoto wako
Mmmh! Utaharibu CV yako usipoimaliza hii kwa kweli. Hahahahah! Ununda wangu umepita kipimo kabisaa
 
Asanteeeeeee kipenzi
Nipo busy sweetie, naomba uwe unani tag ili ninapotulia niwe napitia story zako. halafu mimi peke yangu ndio uniite majina hayo baby. nafurahi kwa sababu hua unatoa story unamaliza sio wengine mara oooh, nenda kwenye web kuna muendelezo. Nakupenda mpaka nahisi nijipeleke mirembe [emoji8][emoji8][emoji8]
 
Mmmh! Utaharibu CV yako usipoimaliza hii kwa kweli. Hahahahah! Ununda wangu umepita kipimo kabisaa
Siwezi kuharibu cv kwa story moja jamani kwahiyo ununda wako kama ule wa panya road eenh
 
Nipo busy sweetie, naomba uwe unani tag ili ninapotulia niwe napitia story zako. halafu mimi peke yangu ndio uniite majina hayo baby. nafurahi kwa sababu hua unatoa story unamaliza sio wengine mara oooh, nenda kwenye web kuna muendelezo. Nakupenda mpaka nahisi nijipeleke mirembe [emoji8][emoji8][emoji8]
Mkuu we subscribe tu huu uzi nakuitaje baby na we sio baby wangu me ni mke wa mtu jamani
 
Siwezi kuharibu cv kwa story moja jamani kwahiyo ununda wako kama ule wa panya road eenh
Ohooo!! Panya road hapana wale wamezidi mimi Nunda ukiingia kwenye site zangu tu, kwingine mpole sana[emoji23][emoji23]
 
Ohooo!! Panya road hapana wale wamezidi mimi Nunda ukiingia kwenye site zangu tu, kwingine mpole sana[emoji23][emoji23]
Ebu niambie site zipi hizo na kwingine mpole wapi
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23] hapa noma kusema nitakucheki kwingine mbashara.
Teh teh acha uwoga bana uwe na usiku mwema mda wa kulog out umefika nisije nikapokonywa simu
 
Mkuu we subscribe tu huu uzi nakuitaje baby na we sio baby wangu me ni mke wa mtu jamani
Basi unidanganye tu kuniita, ili roho yangu itulie. halafu huyu jamaa huyu alitumia mbinu gani kukumiliki ? I am feeling dizzy [emoji27][emoji27][emoji27]
 
SEHEMU YA 11

Hali ilikuwa ni ya mvurugano ndani ya Chama cha Labour, hakukuwa na aliyeona dalili za ushindi mbele yao, Bwana Mapoto alitisha, alikuwa akitikisa kila sehemu na kwenye kila kona ya nchi ya Tanzania, jina lake liliimbwa kwa shangwe huku wengine wakisema kwamba hatimaye Mungu alisikia kilio chao na kumleta mtu aliyeahidi kuleta mabadiliko na kuipeleka Tanzania kuwa nchi yenye nguvu barani Afrika.

“Nimechanganyikiwa kwa furaha! Leo nimemgusa Mapoto,” alisema mwanaume mmoja, alikuwa amevalia kofia ya chama hicho, fulana, kwa jinsi alivyoonekana kuwa na uzalendo na chama hicho, alikuwa kama mtu aliyekunywa maji ya bendera.

“Natamani sana na mimi nikamguse. Huyu ndiye mgombea wa ukweli, ndiye rais wetu ambaye ataweza kututoa hapa tulipokuwa. Maisha yamekuwa magumu sana kisa Labour Party! Huu ndiyo mwisho wao, yaani nikifika kwenye chumba cha kupigia kura, lazima niwachinje,” alisema jamaa mwingine huku akionekana kuwa na kiu ya kuhitaji mabadiliko.

Chama tawala kikachanganyikiwa, hawakuamini kile kilichokuwa kikiendelea. Hawakuona mahali pa kutokea, walizoea kwenda vijijini ambapo waliamini kwamba huko wangechukua watu wengi, kwa mwaka huo kila mmoja aliwashtukia, na walipokanyaga mguu tu, walikuwa wakizomewa na wakati mwingine kupigwa mawe.

“Jamani! Hali imebadilika, hebu zungumza na rais mstaafu,” alisema mwenyekiti wa kampeni, Bwana Edward Mrope.
Simu ikapigwa kwa rais aliyemaliza muda wake, alipewa taarifa juu ya hali ilivyokuwa imebadilika.

Kule vijijini ambapo ndipo walikuwa wakipategemea, palibadilika na kila walipokanyaga, ni jina la Mapoto tu ndiyo lililokuwa likisikika.
“Unasemaje?” aliuliza rais mstaafu.
“Huku hali ni mbaya, kila kona Mapoto, Mapoto, Mapoto tu,” alisema mwenyekiti wa kampeni maneno yaliyomfanya rais huyo kushtuka.

“Haiwezekani!”
“Huo ndiyo ukweli mkuu! Tufanye nini?”
“Nipigie simu baada ya dakika tano,” alisema rais mstaafu na kukata simu.
Namsoma bwana Mapoto namuona rais wangu Lowassa.
 
Back
Top Bottom