Dunia Duara: Kofi kudhaminiwa na Diamond?

Dunia Duara: Kofi kudhaminiwa na Diamond?

Wabongo bwana,kwa hiyo kuna watu kabisaaaa walikuwa wanaamini diamond ana hela kumzidi kofiiii???!!!...mnaleta utani eeeeehh
Palm Village unajua thamani yake? Wasafi Tower je? Sasa inakuja Wasafi Airlines
 
Hakika dunia duara leo hii Mopao analetwa nchini na kupewa dili na mwanae? Tuheshimiane tu ndugu zangu dunia SI yetu
Kweni utafutaji ukoje? We ndo mshamba huelewi chochote,ukisema hivyo maana yake muulize na Bakhresa kwa nini na utajiri wake wote anauza barafu
 
Na Ndio walomleta... Ila watanzania waliowengi ni wajinga au wanajitoa fahamu ukweli wanaujua ila wanaleta unafiki ...
Koffi kaletwa hapa na kusaga FULLSTOP
Utashambuliwa hatari mkuu na kuitwa mwenye chuki na mafanikio ya Diamond.
 
Back
Top Bottom