Dume zima unafanya birthday.

mim sidhan kama kuna tatizo may be unipe sababu za mwanaume kutofanya birthday
 
Sura ngumu kama jiwe wewe utakuwa unakaa tandale kwa tumbo au mburahati..Elimu yako ndogo family maskini powa ugumu wa maisha
Mwanaume aliyekamilika hawezi kucheka na kubeza maisha ya mwanaume mwenzake hivi..!
 
Reactions: OHA
Its nature madam..hatuwezi kuikataa..
 
Mi hua natumia sku yangu ya kuzaliwa kuwatembelea wagonjwa hospitalini na kutoa kidogo nilichonacho Kwa watoto yatima na wasiojiweza Ikiwa ni shukrani Kwa M'Mungu.Inashangaza kuona dume zima limealika watu,pombe na miziki eti ni birth day.Mi nkialikwa hua napotezea.
 
Hakuna shida weye, tena mi napenda kumsuprize siku yake ya birthday, keki nimlishe na mabusu ya kutosha apate
 
mim sidhan kama kuna tatizo may be unipe sababu za mwanaume kutofanya birthday

ulitaka niwe na sura ya kirembo kama wewe dada nina ya elimu ya kutosha ndugu.
 
N halal yao buana kufanya birthday as long as na wao wamezaliwa..
 
Hakuna shida weye, tena mi napenda kumsuprize siku yake ya birthday, keki nimlishe na mabusu ya kutosha apate
 
Mi nafikiri b/day unatakiwa ufanye angalau kwa vindi maalum kama miaka 10, 25,50,75&100
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…