Hivi halali dume zima kufanya birthday.
Kwa wanaume sisi birthday unaweza kumtoa mpenzi wako out special flani hivi..alafu inapita au sio..?!hahhahahah hadi kadi za mwaliko??mtu unakuwa umepaniajee..lol
Mwanaume aliyekamilika hawezi kucheka na kubeza maisha ya mwanaume mwenzake hivi..!Sura ngumu kama jiwe wewe utakuwa unakaa tandale kwa tumbo au mburahati..Elimu yako ndogo family maskini powa ugumu wa maisha
Its nature madam..hatuwezi kuikataa..Haaaaaaaaaah JF never boring! Cio vbaya mwanaume kufanya birthday,
Mi ni kE lakn kiukweli tangu nmejielewa cjawah na ctaki kusherehekea birthday part cio kwa nia mbaya ni basi tu naiona cio lazima.
Ila kila mtu ana Uhuru wa kusherehekea cku yake hiyo.
Hili suala la vtu vingine kuwa vimekaa Girlish ndio vnavyotusumbua hata katika ununuzi wa magari na vinginevyo Sijui ni nani alisema magari meupe yawe ya wanawakena meusi ya wanaume
Nakumbuka hata kipindi npo chuoni issue ya laptop eti za wadada ndogo za wakaka kubwa
Duuuuuuh ukinunua mdada PC kubwa utashangawajeee?
Hahaha msutano wa wanaume exclusive!!!!!!!
Unakumbuka mjadala wetu ule mkuu tpaul..!?kwani hilo 'dume' halikuzaliwa? je, lilijiumba lenyewe? hahaha! subiri wahusika waje wajitetee wenyewe.
mim sidhan kama kuna tatizo may be unipe sababu za mwanaume kutofanya birthday
hahahaha umeona eee
Wanafanya wakina Nelson Mandela sembuse huyo!!!!
Wengine tunafanya Birthday Sex.