Natafuta mawasiliano ya duka la dawa za Kiarabu Lililoko Mwanza Mjini

Kizibo

JF-Expert Member
Jul 3, 2018
3,871
8,381
Habari za mchana wakuu. I hope mko salama. Mimi pia niko salama na mwenye afya njema.

Natafuta mawasiliano ya duka la dawa za kiarabu lililoko mwanza mjini. Nataka hasa namba za simu. Kuna bidhaa nataka niwe natumia kwa njia ya meli kutoka mwanza (dukani) kuja Ukerewe (Nansio Mjini).

Ni bidhaa ambazo nazihitaji katika shughuli zangu za kila siku.

Natanguliza shukurani na natumai nitafanikiwa.

Mchana mwema
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom