Duka gani linauza brand new canon camera kwa Dar es Salaam?

Thabit Karim

JF-Expert Member
Sep 3, 2012
366
645
Naomba kuuliza ni duka gani naweza kupata brand new camera. Hilo duka liwe ni uhakika na pia litoe warranty isiyopungua mwaka mmoja. In short duka liwe la uhakika.

Asanteni.
 
Duuh jukwaa la Tech ni zuri ila wachangiaji ndo hakunaga kabisaa

Pole mkuu..kuna jamaa namuonaga insta anauza Camera kama zote ila jina limenitoka

Ngoja waje
 
Mkuu Nairobi utapata kwa bei nafuu kushinda huko Dar es salaam sababu huku kuna official agents wengi wa kampuni za Tech
 
Naomba kuuliza ni duka gani naweza kupata brand new camera. Hilo duka liwe ni uhakika na pia litoe warranty isiyopungua mwaka mmoja. In short duka liwe la uhakika.

Asanteni.
 
Kuna duka moja city mall I bought my new lapie wanauza camera new and used from US to the A and Europe, ila bei zao sasaaaaa...jamaa wapo vizuri sana....tofauti na hao kuna hawa wanajiita Pentagon wapo Kino studio wacheki
 
Back
Top Bottom