Drama queen
Senior Member
- Apr 22, 2014
- 157
- 288
Hv unapokuja na mdada for a date kwann uagize maji?
Anyway sielewi.. Nimetoka kazini nikakaa mahali alon nishtue koo kidogo akaingia mkaka na mdada wanaonekana wapenzi..dada ameagiza chupa ya wine mwanaume kaagiza maji makubwa mdada anashangaa kwani haunywi leo? Anamjib sijiskii... Khaaaaaa
Raha ya date wote muwe mnalewa