Duh...!! Sijui ni Makusudi.....

Duh...!! Sijui ni Makusudi.....

Spear_

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Posts
1,890
Reaction score
1,541
bill.jpg


Huku kama sio kupandishana Presure na Kisukari ni nini??........
 
duh!!...mm nikishalewa ntaomba msaada hata kwa jirani!wahudumu ni wezi!
 
daah! hii kiboko ndio matatizo ya kukimbia umande hayo.
 
duh!!...mm nikishalewa ntaomba msaada hata kwa jirani!wahudumu ni wezi!
 
Amekosea tu huyooo.......bili yako ni sh. 12,500 tu
 
Mkuu hiyo combination chiboko...Mtori, Mtura na nyama??
 
Lazima alikuona ulikuwa na kizigo unajaribu kuimbisha akajua akikuchomekea hii huchomoi,alijua lazima utataka kulinda heshima...by the way tuambie ulilipa?
 
:violin:Oya oya kaa ukijua starehe gharamaaa, oya oya kaa ukijua starehe gharamaaa........, ooooya kaa ukijua gharamaaaaa......:violin:
 
:violin:Oya oya kaa ukijua starehe gharamaaa, oya oya kaa ukijua starehe gharamaaa........, ooooya kaa ukijua gharamaaaaa......:violin:

Umenikumbusha Mombasa, wanasema "matezo n'gharama".
 
Back
Top Bottom