Duh...!! Sijui ni Makusudi.....

sijaelewa ina maana hata list ya vitu amepachika tu!maana mbuzi na nyama kuna tofauti gani
 
Swadakita!!.... kwa pembeni yake sasa!!



Nitakuwa makini maradufu! Kwani nimeshapataga hizi tetesi kitambo tu!
Wale wahudumu ni washarp hakunaga hapa A town!

KAA CHONJO "SAA MBAYA" hilo ni kati ya misemo yao baada ya mteja kushtukia bili!
Mjini hakuna shamba.
 
Hata RG - Michokeni napo kuna michezo kama hiyo. Koma inayotenganisha figures inaweza kuonekana kama nayo ni figure katika wenge la kuwa "umependeza" - ukienda sawa na bili - wanakuwa wamekupiga.
 
kumbe mambo ya bill za bia bado yapo!, mi nmezoea nikiagiza wanasema lipa kwanza, na yeye akileta kinywaji kabla ya kufungua namwambia chenji kwanza hata kama imebaki shilling mia. mia.
 
Wanachagua na wa kuwapelekea bili za hivi,kwangu ukiniletea bili ya hivi yaani tayari nakuwa nishapata sababu ya kukudhulumu hata ile halali yako niliyotumia.
Mkuu yani hizi ni zangu unless liwe kosa ambalo linaeleweka huwa wakinichomekea silipi chochote nasepa zangu........Tena hawa madogo wa jikoni ndo wanaongoza kwa kuchomeka akishaona umepiga 2/3 pasipokujua consumption yako wao wanachomeka bill
 
Back
Top Bottom