Duh!siasa hadi msibani wajamen?

Duh!siasa hadi msibani wajamen?

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,082
Reaction score
2,358
Mbunge m1 alihudhuria msiba wa mpiga kura wake aliyefariki kwa ajal ya pikipiki,baada ya kuwasalimia waombolezaj,mbunge akaanza "MSIBA OYEEE" bac wa2 wote wakabak midomo wazi,wasijue wamjibu nin mbunge wao.
 
Duuu!! inabidi wabunge wote wawe wa viti maalum ili kuepusha ili jambo!
 
hahahahahahahahahahahahahahaha! Ningekuwepo hata kama msiba ni wa demu wangu nipasuka kicheko. Magamba mengine bwana?
 
Duh huyo nae cjui alikuwa wa wapi aisee!!!
 
Angesema ivo kule kwetu usukumani afu awe mwanamke mwenye macho mekundu kama ya kiranja mkuu wa bunge,watu wangefungua bucha!
 
Angesema ivo kule kwetu usukumani afu awe mwanamke mwenye macho mekundu kama ya kiranja mkuu wa bunge,watu wangefungua bucha!
kwan kiranja mkuu wa bunge ana macho mekundu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom