Duh! NIVEA For men

Duh! NIVEA For men

Duh mkuu itabidi niache kuyatumia maana na mm naona chunusi znanianza..........tena nlikua natumia ayoo apo chini.... kuna mtu alinishaur ni mazur
.....

Pole sanaaaa mkuu, ndio maana nimetaka ufafanuz kwa wataalamu...yanachanganya sanaaaa
 
Aisee kuna kimkebe cha mafuta mgando yaliitwa yolanda yalikua sexy sana aisee
 
Na unashauri nani akaimbe kwenye mikutano ya Chadema, CUF, NCCR?

Kuna mengine rafik angu kanielekeza kasema yanauzwa 15000 yapo kwenye kopo jeupe afu ni kopo fupi sio kama ayo apooo sa cjajua ni nivea for men au ni yakike
 
Naona watoto wa Kota mnashindana kututajia majina ya lotion/mafuta ambayo sisi watoto wa Uswahili hatujawahi kuyasikia wala kuyaona tangu tuzaliwe. Mimi mafuta/lotion ninayotumia ni Mafuta ya Kula kitu mng'ao wa Asili.
 
Naona watoto wa Kota mnashindana kututajia majina ya lotion/mafuta ambayo sisi watoto wa Uswahili hatujawahi kuyasikia wala kuyaona tangu tuzaliwe. Mimi mafuta/lotion ninayotumia ni Mafuta ya Kula kitu mng'ao wa Asili.

umetaja watoto wa kota na wa uswazi
wakishua je
hawapo humu?
 
mi yangu inaitwa MINARA,ni mafuta ya nazi,mazuri sana,hata MziziMkavu analifahamu hili,kama ngozi zao zimeharibika warejee mafuta haya,Shs.1,000/= maduka ya kawaida tu yanapatikana

Mafuta yangu hayo....yamepanda sasa hv yanauzwa 1200.Halafu wamebadilisha rangi ya kichupa kimekuwa kijani hcho
 
Last edited by a moderator:
Mafuta yangu hayo....yamepanda sasa hv yanauzwa 1200.Halafu wamebadilisha rangi ya kichupa kimekuwa kijani hcho

Yapi hayo mkuu...duh! nivea naona ni shida kwa watu kuyatambua. ngoja nisubiri ufafanuzi
 
Ngoja nkachukue cobra yangu nije nayo nipate ufafanuzi naona kuna wataalamu apa


Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
……mi yangu YOLANDA!!!

Yolanda we acha tu. Back 1985 jamila alikuwa akiyapaka haya alafu tunaenda kwa mtoko kisha tunarudi geto then tunafanya sarakasi zote. Mpaka asubuhi akiamka bado yananukia tu
 
yolanda we acha tu. Back 1985 jamila alikuwa akiyapaka haya alafu tunaenda kwa mtoko kisha tunarudi geto then tunafanya sarakasi zote. Mpaka asubuhi akiamka bado yananukia tu
tena ukiyapulizia kwenye shati la juliana , those days kila kitu kilikuwa unisex.
 
salama wakuu!

Naomba ufafanuzi kidogo juu ya product hizi mbili (body lotion)
1. Nivea for men
2. Nivea men

kwa tanzania maduka mengi huuza na wengi hutumia sana namba moja kwa uzoefu na uelewa.

Sasa hivi karibuni ukiagiza "nivea for men body lotion" unapewa "nivea men body lotion" yenye mfanano sawa na for men kwa kila kitu nje kasoro (for) katikati, kwa taarifa tu sio salama kwa afya zetu kwani imealibu vijana kama wawili hivi sasa jiran zangu na kugundua hili.

Naomba tueleweshane juu ya product mbili juu zinazofanana kwa wasiwasi, pamoja na tfda kutusaidia kwa msaada kwani nimeambiwa zinatengenezwa china but label kenya. Zinaalibu ngozi za watu

"but nivea men ni product inayotumika usa but ya sasa tz sio"

asanten!

naweee wee hujui made by

ukufwatiliassana hutovaa mitumba
 
Back
Top Bottom