Duh! NIVEA For men

Duh! NIVEA For men

Angalia kuna mbazo zimeandikwa for dry skin sasa kama wewe ngozi yako ni ya mafuta usipake hayo, bora utafute iliyoandikwa for all type of skin kama ngozi yako niya mafuta na hata kama sio unaweza tumia, na mimi ha tumia hayo hayo
Duh mkuu itabidi niache kuyatumia maana na mm naona chunusi znanianza..........tena nlikua natumia ayoo apo chini.... kuna mtu alinishaur ni mazur
.....
 
Yolanda we acha tu. Back 1985 jamila alikuwa akiyapaka haya alafu tunaenda kwa mtoko kisha tunarudi geto then tunafanya sarakasi zote. Mpaka asubuhi akiamka bado yananukia tu

Duh!!!sarakasi
 
Du nilitumia deodorant ya nivea looooh siitamani tena seee ilibidi niitupe tu maana!
Mkuu hembu nieleweshe vipi kuhusu deodorant nayo imeandikwa Nivea Men not for haipo je zipo zilizoandikwa for?
 
Angalia kuna mbazo zimeandikwa for dry skin sasa kama wewe ngozi yako ni ya mafuta usipake hayo, bora utafute iliyoandikwa for all type of skin kama ngozi yako niya mafuta na hata kama sio unaweza tumia, na mimi ha tumia hayo hayo

Asantee mkuuu kwa ushaurii wakoo
 
Mi situmii lotion yenye bei chini ya elfu thelathini
 
Ukiwa na smart phone, download barcode reader na itakusaidia kujua vitu feki.

Nivea original ni Nivea for men
 
Back
Top Bottom