Duh nimepata ajira ya kuchunga ng’ombe mshahara elf 70

  • Thread starter kofia ya plastiki
  • Start date
M

Mr Kazi

Member
Joined
Nov 25, 2017
Messages
40
Points
125
M

Mr Kazi

Member
Joined Nov 25, 2017
40 125
mshahara wa mwaka mzima 840,000. thamani ya ng'ombe wawili.
 
Baba Swalehe

Baba Swalehe

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2017
Messages
14,121
Points
2,000
Baba Swalehe

Baba Swalehe

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2017
14,121 2,000
Mkuu tupeane koneksheni

Mi napenda sana maziwa nitakua nanyonya kabisa pale ....

Ila mi najiulizaga sana hivi Fala aliyegundua n'gome anatoa maziwa alikua anafanya nini kwa matiti ya moooo
 
Mpauko

Mpauko

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2019
Messages
1,541
Points
2,000
Mpauko

Mpauko

JF-Expert Member
Joined Jan 19, 2019
1,541 2,000
Mkuu niungishe mimi hilo dili
 
October man

October man

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2017
Messages
1,848
Points
2,000
October man

October man

JF-Expert Member
Joined Nov 23, 2017
1,848 2,000
Mkuu bora ukabebe nzege kwa mwez 1, utapata mtaj mzr wa biashara, msomi kuchunga ng'ombe daah haimake sense kabisa
Akabebe wapiii...mambo sio rahisi izo sehemu unafikiri zipo tu ukiamua nikabebe eti uzipate.
 
kofia ya plastiki

kofia ya plastiki

Senior Member
Joined
Jun 9, 2019
Messages
104
Points
225
kofia ya plastiki

kofia ya plastiki

Senior Member
Joined Jun 9, 2019
104 225
Labda ulitaka akupe ngapi ?, Ana mifugo mingapi na anazalisha ngapi na hio 70 ni percent ngapi ya mapato.., lazima uangalie na uzalishaji.., kazi unayofanya izalishe cha ziada ili wewe ulipwe kama unaona ndogo mshauri muingie partnership uzalishe nyingi zaidi ili mgawane
Nimeshindwa mkuu
 
K

Kibabu chenye pesa ndefu

Senior Member
Joined
Aug 10, 2019
Messages
102
Points
225
K

Kibabu chenye pesa ndefu

Senior Member
Joined Aug 10, 2019
102 225
Wakuu Kuna mtu anataka niende moshi vijijini nikachunge ng’ombe.. Nimemwambia nitampa jibu Kesho.. Hata kama nimesoma lakini mshahara huu sidhani kama unakidhi
mwenzio namlipa 20elfu
 

Forum statistics

Threads 1,334,522
Members 512,012
Posts 32,479,022
Top