Duh nimepata ajira ya kuchunga ng’ombe mshahara elf 70

  • Thread starter kofia ya plastiki
  • Start date
kofia ya plastiki

kofia ya plastiki

Senior Member
Joined
Jun 9, 2019
Messages
104
Points
225
kofia ya plastiki

kofia ya plastiki

Senior Member
Joined Jun 9, 2019
104 225
Wakuu Kuna mtu anataka niende moshi vijijini nikachunge ng’ombe.. Nimemwambia nitampa jibu Kesho.. Hata kama nimesoma lakini mshahara huu sidhani kama unakidhi
 
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Messages
32,381
Points
2,000
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2014
32,381 2,000
Kama ni poa kwako kafanye...


Cc: mahondaw
 
Ushimen

Ushimen

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Messages
22,176
Points
2,000
Ushimen

Ushimen

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2012
22,176 2,000
Kwa hiyo ndio umeamua kuna kunianzisha uzi huku..!!
Kama ulikuwa hautaki, bora unganiembia kuliko kuja kunianika huku...
 
bwii

bwii

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2014
Messages
1,105
Points
2,000
bwii

bwii

JF-Expert Member
Joined May 24, 2014
1,105 2,000
Kamua maziwa Lita tano kisirisiri then kauze ili angalau uongeze kipato
 
mjumbe wa bwana

mjumbe wa bwana

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2016
Messages
3,578
Points
2,000
mjumbe wa bwana

mjumbe wa bwana

JF-Expert Member
Joined Sep 19, 2016
3,578 2,000
Shida ya kujijini kila mtu anafuga kupata mteja ni ngumu
Kamua maziwa Lita tano kisirisiri then kauze ili angalau uongeze kipato
 
Equation x

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Messages
7,281
Points
2,000
Equation x

Equation x

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2017
7,281 2,000
Kama huna shughuli yoyote ya kufanya,we nenda kachunge tu
 
KeyserSoze

KeyserSoze

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Messages
2,681
Points
2,000
KeyserSoze

KeyserSoze

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2014
2,681 2,000
Labda ulitaka akupe ngapi ?, Ana mifugo mingapi na anazalisha ngapi na hio 70 ni percent ngapi ya mapato.., lazima uangalie na uzalishaji.., kazi unayofanya izalishe cha ziada ili wewe ulipwe kama unaona ndogo mshauri muingie partnership uzalishe nyingi zaidi ili mgawane
 
October man

October man

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2017
Messages
1,848
Points
2,000
October man

October man

JF-Expert Member
Joined Nov 23, 2017
1,848 2,000
Inategemea na hali yako kwasasa kuna watu wamepagawa hawana kitu.
 
Bonde la Baraka

Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2016
Messages
3,538
Points
2,000
Bonde la Baraka

Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2016
3,538 2,000
Haya maisha noma, ukiwa jobless sometimes unaweza kuwachukia mpaka kuku, maana bila haya wanalalama mbele yako
 
Champagnee

Champagnee

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Messages
3,200
Points
2,000
Champagnee

Champagnee

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2019
3,200 2,000
Mkuu bora ukabebe nzege kwa mwez 1, utapata mtaj mzr wa biashara, msomi kuchunga ng'ombe daah haimake sense kabisa
 

Forum statistics

Threads 1,334,520
Members 512,012
Posts 32,478,950
Top