Mama Madawili amekwisha staafu. Maj Gen Madawili alikuwa ni mwanamke wa kwanza kuingia jeshini akifuatiwa na Maj Gen Grace Mwakipunda miaka ya 70's mwanzoni na mwenzao mmoja PW002 alikwishafariki.Major General Grace Mwakipunda na Lilian Kingazi hongereni sana. Major General wa kwanza hapa Tanzania mwanamke alikuwa Zawadi Madawili sijui kama bado yuko kazini au alishastaafu.
Ngoja nimwalike TUMBIRI Dr mtarajiwa atumwagie nasaha zake.