Duh kumbe wanawake wakiwezeshwa wanaweza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Duh kumbe wanawake wakiwezeshwa wanaweza

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ngongo, Sep 28, 2012.

 1. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #1
  Sep 28, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Rais Jakaya Kikwete akiwa na maafisa waandamizi wanawake wa JWTZ.kulia ni Major General Lilian Kingazi na kushoto ni Major General Grace Mwakipunda.Hongera sana akina Mama wote wa Tanzania Major General Lilian na Grace wanawakilisha vyema.
  [​IMG]
   
 2. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #2
  Sep 28, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Duh kuna rafiki yangu mjeshi kanitonya Major General Grace Mwakipunda kwa sasa ndiye mkuu wa utumishi JWTZ.
   
 3. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #3
  Sep 28, 2012
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  huo ushikaji wa mikono na hicho kicheko cha huyo Jenerali...
   
 4. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #4
  Sep 28, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mbona huo mdomo ameupanua kishangingi halafu anaangalia penye dush... au anaitamani.
   
 5. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #5
  Sep 28, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  MH....hili pozi la huyu mjeda wa kulia limeniacha na maswali kama buku hivi.............
   
 6. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #6
  Sep 28, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Mkuu Kituko mbona mnapenda kuwadhalilisha wanawake angekuwa mwanaume msingesema.

  Heshima kwa kina Mama.


  Yaani wachangiaji wote hamkuona kitu kingine zaidi pozi duh mfumo dume umetuharibu.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #7
  Sep 28, 2012
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Huyu jamaa hata wajeshi, tena maJenerali....anawashika mikono kama wale wanamipasho wa CCM wanaojipendekeza kupata uBunge wa 'vitanda' maalum! hii sio heshima ya kiJeshi, ukizingatia naye ni mjeshi!
   
 8. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #8
  Sep 28, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  hivi kwanini wanawake wengi wa jeshi la polisi ni wanene...mijimama?
   
 9. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #9
  Sep 28, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,273
  Trophy Points: 280
  Na usisahau kuna mwanamama anarusha Jet Fighter, sijui kama yupo hapo? nimemsahau jina lake.
   
 10. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #10
  Sep 28, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  mtotowamjini unataka wembamba kwani wanagombea umiss Tanzania.

   
 11. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #11
  Sep 28, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  ........ni kweli kabisa, kwa mjeda mwenye sare na anaongea na amiri jeshi, hii sio nidhamu timamu !
   
 12. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #12
  Sep 28, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Ngoja nimwalike TUMBIRI Dr mtarajiwa atumwagie nasaha zake.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #13
  Sep 28, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  :biggrin1: sasa leo hii tuvamiwe kutokee vita hapa hilo limama hapo juu ataweza hata kukimbia kilomita 1?
   
 14. MERCIFUL

  MERCIFUL JF-Expert Member

  #14
  Sep 28, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,473
  Likes Received: 746
  Trophy Points: 280
  Ngongo - Asante sana kwa hii taarifa. Nilikosa kuiona kwenye vyombo vya habari. Hongereni sana wakina mama...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Monyiaichi

  Monyiaichi JF-Expert Member

  #15
  Sep 28, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 1,825
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  una maana hao wamewezeshwa?
   
 16. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #16
  Sep 28, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Monyiaichi sidhani katika nchi za maziwa makuu kuna wanawake katika majeshi wenye vyeo vikubwa kama Tanzania.

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #17
  Sep 29, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ukiona komenti zaidi ya moja zinafanana ujue kuna kaukweli kidogo.japo sio lazima.
   
 18. BantuGirl

  BantuGirl Senior Member

  #18
  Sep 29, 2012
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 157
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hongera Meja Jenarali Grace Mwakipunda na Lilian Kingazi kwa kufikia cheo hicho Miaka 41 Jeshini si mchezo hakika mmehimiri mikiki mikiki mingi.
   
 19. kazikubwa

  kazikubwa JF-Expert Member

  #19
  Sep 29, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Safiii, Kikwete siyo mdini bwana.
   
 20. U

  Ubungo JF-Expert Member

  #20
  Sep 29, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Major General Grace Mwakipunda na Lilian Kingazi hongereni sana. Major General wa kwanza hapa Tanzania mwanamke alikuwa Zawadi Madawili sijui kama bado yuko kazini au alishastaafu.
   
Loading...