Baada ya mkutano wa Beijing, kuliibuka misemo mingi sana ya kuuaminisha ulimwengu kwamba mwanamke akiwa kiongozi mambo yatakuwa mazuri.
Ndipo tukaja na sera ya kumuwezesha mwanamke kielimu na ile ya 50 kwa 50 ktk uongozi.
Japo bado hatujafikia 50% kwa 50% lkn tumepiga hatua sana. Tuna wakurugenzi wa mashirika wanawake, wakuu wa taasisi wanawake, vile vile mawaziri 5 wanawake, spika wa pili mwanamke na kubwa zaidi tuna rais mwanamke.
+*Je, tumeona mabadiliko/mapinduzi ktk sekta ama taasisi zinazoongozwa na wanawake?
+*Kuna jipya la kujivunia kama nchi hivi sasa ambapo inaongizwa na mwanamke, ukilinganisha na ilipokuwa inaongozwa na wanaume?
Au mambo ni yale Yale, hivyo uachane na hizi nyimbo za wanawake wakiwezeshwa wanaweza, tuzingatie akili ya mtu??
#UongoziSiyoJinsia