Duh kumbe wanawake wakiwezeshwa wanaweza

Major Generals Grace Mwakipunda na Lilian Kingazi hongereni sana. Major General wa kwanza hapa Tanzania mwanamke alikuwa Zawadi Madawili sijui kama bado yuko kazini au alishastaafu.
 
Major General Grace Mwakipunda na Lilian Kingazi hongereni sana. Major General wa kwanza hapa Tanzania mwanamke alikuwa Zawadi Madawili sijui kama bado yuko kazini au alishastaafu.
Mama Madawili amekwisha staafu. Maj Gen Madawili alikuwa ni mwanamke wa kwanza kuingia jeshini akifuatiwa na Maj Gen Grace Mwakipunda miaka ya 70's mwanzoni na mwenzao mmoja PW002 alikwishafariki.
 
Ngoja nimwalike TUMBIRI Dr mtarajiwa atumwagie nasaha zake.

Mkuu Ngongo,
Shukrani kwa mwaliko lakini sory pia kwa kuchelewa ku-join kwenye hii thread. Nilikuwa busy naandika Resarch Proposal yangu na leo angalau nimepata muda wa kucheki tag, mention na quote zangu. Kwa kifupi tunawapongeza hao kina Mama kwa hatua Waliofikia. Kwa Mwanamke kufikia hicho cheo si kazi rahisi. Wanakumbana na Changamoto nyingi sana kwenye tasnia ya Jeshi.

TUMBIRI (PhD, University of Hull - HULL City, UK),
tumbiri@jamiiforums.com
 
Last edited by a moderator:
Kulikuwa na Madawili; nadhani wakati akiwa Luteni aliongoza mbio za Mwenge mwaka 1974. Baadaye alipanda hadi kuwa brigadier ila sijui alistaafu akiwa na cheo gani.
 
Back
Top Bottom