Duh hii imekaaje

Serikali inahusika vipi hapo??? Demu mwenyewe ndo anataka kufumuliwa ndomana analalamika jamaa hamtafuti
Jamaa ndiyo katengeneza hayo mazingira na nia hiyo anayo...
 
Hiyo ofisi haina mkuu wa kitengo hapo bali ina kibwengo tu..
Ukiwa kwenye ofisi yoyote ukaanza kuitumia ili kufaidika na wanawake ujue hapo hapo hakuna huduma labda iwe inahusika na hyo shughuli
 
Mkuu gani wa idara hajielewi kiasi hikiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚eh na nyie ndo maboss aiseee naanza kuungamkono wanaojiajiri maana hao waliochini yako wana kazi kwa kweli
 
Haya mambo mengine siyo ya kuleta uzi humu kabisa, anyway mblock aache usumbufu
 
Mkuu gani wa idara hajielewi kiasi hikiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚eh na nyie ndo maboss aiseee naanza kuungamkono wanaojiajiri maana hao waliochini yako wana kazi kwa kweli
Inasikitisha sana
 
Wewe ni Malaya pro max. Unataka kutumia madaraka yako vibaya.Hii haitawaacha salama watoto wako wa kike.watalipa hii gharama.

Hiv kwanini lakini mnatumia matatizo ya dada zetu kuwaingiza kwenye uzinzi.
 
Kupatwa kwa kitengo
 
Kwamba wewe ni Mkuu wa Idara???

Labda Idara ya Mavie
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…