Duh hii imekaaje

Mmh!!!?? Huyu ndio mkuu wa kitengo kwenye taasisi ya Serikali ya awamu ya sita??!! Kweli JPM aliona mbali kutimua vyeti feki. BTW umeandika kama upo kwenye hatua za kubalehe.
 
Utakoma. Mnawachokoza wanini
 
Kwanini watu wanashangaa wewe ni mkuu wa kitengo na hawajui kitengo gani? 🀣🀣 Watu wakisikia kitengo mawazo yanaenda wapi?
 
Bora ungeachia hiko kitengo, unaidhalilisha serikali

Anyway, umesema jana ulimpa namba, leo amekutafuta kwa mara ya kwanza na hivyo leo ukapata namba yake ila leo hii hii analalamika humtafuti?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nyie ndio mnaotumia vyeti vya watu maofisini kama kweli upo kitengo.
 
No Reforms
No Election

Tuikomboe nchi kwanza, mbunye utaikuta tu. Atakusubiri
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…