Duh, eti 'No strings attached'??!!! Ya kweli haya!

Mara nyingi nasikia mahusiano kati ya wapenzi lakini 'no strings attached'

najaribu kuyaelewa lakini nashindwa, kwani maana yake halisi ni nini?

Inafananaje au kutofautianaje na 'sex partners'

na je unaweza kuwa kwenye mahusiano ya aina hii na kutoka ukiwa haujavunjwa moyo kweli?

Naomba mnisaidie kudadavua hii kitu.

hakuna mahusiano yanayoitwa 'no strings attached'
ukishaita 'mahusiano' basi lazima yana 'strings za aina fulani'

lakini kuna 'sex with no strings attached'
hii most of time ni kwa wale ambao waliwahi kuwa wapenzi
sasa wameamua kuachana lakini katika kipindi cha mpito
kabla hawajapata wapenzi wapya....ndo wanakuwa na 'sex with no strings attached'
kwa maana kuwa wameshaachana lakini wanaendelea na sex bila kupeana majukumu ya wenza...

nyingine ni pale ambapo mtu mmoja anataka mahusiano
mwingine hataki...sasa ile process ya kushawishiana ndo wanaanza na hii
'sex with no strings attached' huku taratibu wakielekea kwenye mahusiano kamili
au kuachana.....in theory hii ni relationship ambayo haijawa serious bado
wakiendelea watakuwa serious.....

na nyingine inaitwa kwa kiswahili 'ndoa ya kufaana' au 'kusitiriana'
hii ni sex kati ya watu ambao hawawezi kuwa na mahusiano in public...
labda ni ndugu,au binamu..au kuna ujamaa fulani....so ni sawa na kuita 'mahusiano ya siri'....
kwa sababu in piblic hawezi kukuuliza chochote...mfano mke wa marehemu kaka yako au marehemu rafiki yako....
 
@The Boss

unaweza dondosha nguo chini kwa mahusiano mapya bila komitment ya aina yeyote?

Unadondosha mara ya kwanza, ya pili na ya tatu, bado unasema no strings attached?

How?

Hakuna hata wivu?
Hakuna kuulizana yule nani?

Hakuna komitment kabisa?
 
Au katafute muvi inaitwa "FRIENDS WITH BENEFITS" nayo itakuelezea vzr kuhusu no string attached r/shp.
 
huoni kuna tofauti kati ya siku mnapokubaliana na kadiri siku zinavyokwenda?

Labda, niulize, mnakutana mara ngapi kwa mwezi, roughly.

mmmh hapana kwa sababu feelings zikianza inamaanisha NSA status imeisha na inabidi mjadiliane next step. Meeting could be once or twice a month, it worked nilipokuwa chuo na sikuwa nataka emotional attachment, na pia huyo mtu mnaweza kuwa marafiki mnaojuana siku nyingi not just a stranger. Imekaa kinadharia lakini inawezekana, but it's not for everyone.
 
asante wewe umekuwa muwazi ili unipe Live from the source.

Vipi ungemkuta na mtu mwingine, usingejali?
Hakuwa anakutoa in way labda dinner, outings, gifts and the like?

Au unahisi yeye angekukuta na mtu asingejali?

Na unawezaje kusex na mtu ukafurahia bila kuwa na feelings naye za aina yeyote?

Sorry, labda nimeuliza too much, potezea usiyoweza jibu.

mmmh hapana kwa sababu feelings zikianza inamaanisha NSA status imeisha na inabidi mjadiliane next step. Meeting could be once or twice a month, it worked nilipokuwa chuo na sikuwa nataka emotional attachment, na pia huyo mtu mnaweza kuwa marafiki mnaojuana siku nyingi not just a stranger. Imekaa kinadharia lakini inawezekana, but it's not for everyone.
 
babu DC, karibu darasani
hii kitu naiskia tu, kiukweli siielewi kabisa.

Acha tujifunze kwa matumizi ya siku za usoni.

Practically hakuna kitu cha namna hiyo...Hata kwenye pay sex, ukiona umekutana na mtu yule yule zaidi ya mara moja basi anza kutafakari na ikiwezekana uchukue hatua immediately!!

Babu DC!!
 
mmmh hapana kwa sababu feelings zikianza inamaanisha NSA status imeisha na inabidi mjadiliane next step. Meeting could be once or twice a month, it worked nilipokuwa chuo na sikuwa nataka emotional attachment, na pia huyo mtu mnaweza kuwa marafiki mnaojuana siku nyingi not just a stranger. Imekaa kinadharia lakini inawezekana, but it's not for everyone.

Hayo ya shule yapo sana ambapo watu wanapigana tafu ili kitabu kipande..vijana walikuwa wanaita academic stabilizers!!

Lakini huku uraiani kitu cha namna hiyo, at least kwa upande wangu hakiwezekani!!

Babu DC!!
 
waweza kuwa huyawezi, je hii concept unaielewa?

Mie inanikanganya sana.

Naielewa kabisa. Ndio mana nikaona siiwezi... Baadhi ya Terms and conditions za haya mambo....

  1. Kwanza kabisa inatakiwa usiwe na wivu wa kumshare na wengine.
  2. Ujue kua hakuhusu kwa lolote, humuulizi lolote (labda tu maswali yanayohusiana na ngono); Iwe cha muhusu direct ama lah.
  3. Hamna kuonesha emotions juu yake ama kumuambia wampenda.
  4. kawaida wakati wa kukutana mwashare kila kitu 50/50 hakuna cha kusema mwanaume should take care of the lady na vice versa.
  5. Ukimkuta na mtu mwingine ambae ni wazi yaelekea mpenzi wake roho yako isishtuke. Iwe imeona kama umeona watu usiowajua.
 
ha ha ha, wewe kweli old version.

Si unaona shuhuda kwamba ipo.

Hata mie bado old version, sidhani kama inawezekana.

Practically hakuna kitu cha namna hiyo...Hata kwenye pay sex, ukiona umekutana na mtu yule yule zaidi ya mara moja basi anza kutafakari na ikiwezekana uchukue hatua immediately!!

Babu DC!!
 
waweza kuwa huyawezi, je hii concept unaielewa?

Mie inanikanganya sana.

Kama nimemuelewa vizuri The Boss...concept inaeleweka tu..ila haitekelezeki kwa sababu katika kuitekeleza mnajikuta mko kwenye kipindi cha mpito!!

Babu DC!!
 
@AshaDii

this is more serious than i thought, hizo terms and condition hata mnyama hazikubali lol.

Old version hapa sipawezi lol
 
Back
Top Bottom