Duh, eti 'No strings attached'??!!! Ya kweli haya!

utakubali mara ya kwanza, lakini mkikutana mara 3, lazima kila kitu kibadilike.

Anyway, labda sababu ni kipindi cha mpito.

Lakini pamoja na hayo, ukiachia watu wanaofanya biashara, waweza enjoi na mtu haumfeel chochote?

Is it possible?

hahaha.... Mzee DC can you imagine doing it? Anaku approach mwanamke na kukuambia anaomba muwe kwenye mahusiano ya ngono tu! lol.... Utakataa? Utaona ni mambo ya dot com?
 
ha ha ha, wewe kweli old version.

Si unaona shuhuda kwamba ipo.

Hata mie bado old version, sidhani kama inawezekana.

Hebu some vizuri kaka/dada...Hayo aliyoyasema Pinkmousse yanaangukia moja kwa moja kwenye options alizozieleza The Boss. Kwamba watu wanakuwa kwenye kipindi cha mpito na wanasaidiana kupunguza mzigo...in this case, ili shule ipande...Hilo hulielewi?

Sasa utakuwaje na mtu ambaye hata mkiwa kule kwenye movie huwezi kumwimbia nyimbo za kumbembeleza mtoto alale unono au babu afikishe mzigo salama???

It simply doesn't make sense in my old big head!!

Babu DC!!
 
duh aisee mie siwezi na wivu sio mchezo no stringe attached acha ibakie kwenye vitabu lakini kwa kuona siwezi
 
hahaha.... Mzee DC can you imagine doing it? Anaku approach mwanamke na kukuambia anaomba muwe kwenye mahusiano ya ngono tu! lol.... Utakataa? Utaona ni mambo ya dot com?

Bahati nzuri jibu lake liko wazi...Bibi DC hawezi kunipa ruhusa ya kufanya kitu kama hicho with or without strings attached!!

Anyway....Hata nikiwasimulia wazee wenzagu hawatanielewa...

Labda kama tumekutana kwenye nchi zenye mabarafu ya ajabu ajabu na tunahitaji kupeana joto once and only once....Halafu baada ya hapo hatutaonana tena!!....Too theoretical!!

Babu DC!!
 
utakubali mara ya kwanza, lakini mkikutana mara 3, lazima kila kitu kibadilike.

Anyway, labda sababu ni kipindi cha mpito.

Lakini pamoja na hayo, ukiachia watu wanaofanya biashara, waweza enjoi na mtu haumfeel chochote?

Is it possible?

Kwa kweli siiamini hii kama it always works vile ambavo wahusika wataka... Siamini. Na ku feel tendo nadhani linaendeshwa na hata ka Lust kawepo kama sio love.... walau naamini hivo. hata hivo nafikiri moja ya kigezo cha kuchaguana ni umahiri na compatibility katika hio sector....
 
Bahati nzuri jibu lake liko wazi...Bibi DC hawezi kunipa ruhusa ya kufanya kitu kama hicho with or without strings attached!!

Anyway....Hata nikiwasimulia wazee wenzagu hawatanielewa...

Labda kama tumekutana kwenye nchi zenye mabarafu ya ajabu ajabu na tunahitaji kupeana joto once and only once....Halafu baada ya hapo hatutaonana tena!!....Too theoretical!!

Babu DC!!

Acha kuruka ruka DC.... Mimi nimekuuliza kama yupo dada akaomba iwe hivo. Take note hapa mama DC hausiki! Hio no strings attached inakua na huyo bibie mpya! lol
 
utakubali mara ya kwanza, lakini mkikutana mara 3, lazima kila kitu kibadilike.

Anyway, labda sababu ni kipindi cha mpito.

Lakini pamoja na hayo, ukiachia watu wanaofanya biashara, waweza enjoi na mtu haumfeel chochote?

Is it possible?

Utashindwaje kuwa na feeling?

Kwani huyo mtu ni doll??

Ndiyo maana nikasema kuwa, hata watu waliochukua kahaba yule yule mara nyingi wamejikuta kwenye mitego ya ajabu!!

Babu DC!!
 
asante wewe umekuwa muwazi ili unipe Live from the source.

Vipi ungemkuta na mtu mwingine, usingejali?
Hakuwa anakutoa in way labda dinner, outings, gifts and the like?

Au unahisi yeye angekukuta na mtu asingejali?

Na unawezaje kusex na mtu ukafurahia bila kuwa na feelings naye za aina yeyote?

Sorry, labda nimeuliza too much, potezea usiyoweza jibu.

No nisingejali kwa sababu status ni NSA na ni buddies with benefits na yeye hatajali pia for the same reason,mambo ya kujali yakianza inamaanisha NSA imeanza kufa,all meetings start with an outing first then the rest follows. Kwangu haikuwa issue to engage without feelings, I found it very useful during that stage of my life ilinisaidia kujifahamu zaidi. Labda niseme tu kwamba swala la NSA na one night stand huwa linaleta utata sana kueleweka,nakumbuka baadhi ya rafiki zangu walikuwa hawanielewi, nafurahi nilipitia kabla ya kuwa kwenye permanent commitment.
 
Acha kuruka ruka DC.... Mimi nimekuuliza kama yupo dada akaomba iwe hivo. Take note hapa mama DC hausiki! Hio no strings attached inakua na huyo bibie mpya! lol

Hahahahahahhahahahahha..........................................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Sikujua kama wewe ni mchokozi kiasi hicho...

Hivi bado sijakujibu??

Babu DC!!!
 
ntaprint, niisome kesho labda nikiandika na summary nitaelewa.

Hata kama mnapitisha muda wa chuo labda miaka miwili, muwe na no strings attached, ukimuona analegezwa na mtu mwingine, eti usijali kabisa?
 
asante wewe umekuwa muwazi ili unipe Live from the source.

Vipi ungemkuta na mtu mwingine, usingejali?
Hakuwa anakutoa in way labda dinner, outings, gifts and the like?

Au unahisi yeye angekukuta na mtu asingejali?

Na unawezaje kusex na mtu ukafurahia bila kuwa na feelings naye za aina yeyote?

Sorry, labda nimeuliza too much, potezea usiyoweza jibu.

No nisingejali kwa sababu status ni NSA na ni buddies with benefits na yeye hatajali pia for the same reason,mambo ya kujali yakianza inamaanisha NSA imeanza kufa,all meetings start with an outing first then the rest follows. Kwangu haikuwa issue to engage without feelings, I found it very useful during that stage of my life ilinisaidia kujifahamu zaidi. Labda niseme tu kwamba swala la NSA na one night stand huwa linaleta utata sana kueleweka,nakumbuka baadhi ya rafiki zangu walikuwa hawanielewi, nafurahi nilipitia kabla ya kuwa kwenye permanent commitment.
 
ntaprint, niisome kesho labda nikiandika na summary nitaelewa.

Hata kama mnapitisha muda wa chuo labda miaka miwili, muwe na no strings attached, ukimuona analegezwa na mtu mwingine, eti usijali kabisa?

Bwana hiyo ni ngumu sana,

Kama mtu anaweza kuua mwenzake kwa kitu alichookota barabarani, iweje kwa BF au GF ambaye wanasaula nguo na kubaki watupu mara kwa mara,..na kisha kubanjua amri ya sita?

Labda nianze kujifunza leo....Ila ukweli ni kwamba siwezi!!

Babu DC!!
 
sidhani hata wanaopractise wanaiweza, au unaamua kufa na tai shingoni.

Ndo haya mambo unajikuta umemwagia mtu tindikali lol

Back
Top Bottom