Duh, eti 'No strings attached'??!!! Ya kweli haya! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Duh, eti 'No strings attached'??!!! Ya kweli haya!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kongosho, Mar 25, 2012.

 1. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #1
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Mara nyingi nasikia mahusiano kati ya wapenzi lakini 'no strings attached'

  najaribu kuyaelewa lakini nashindwa, kwani maana yake halisi ni nini?

  Inafananaje au kutofautianaje na 'sex partners'

  na je unaweza kuwa kwenye mahusiano ya aina hii na kutoka ukiwa haujavunjwa moyo kweli?

  Naomba mnisaidie kudadavua hii kitu.
   
 2. a

  asakuta same JF-Expert Member

  #2
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 15,065
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 0
  hey! inahusika sana kuishi out of stress ,tatizo sasa ukute kitu mashine mnato ,gusa unase ...lol!
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  How? Inakuwaje?
  Au hata wale wa kununua usiku mmoja wako category hii?

   
 4. a

  asakuta same JF-Expert Member

  #4
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 15,065
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 0
  wale wa kununua sina ujuzi nao ila hawapo kwenye hii category.....
  kuna movie moja inaitwa NO STRING ATTACHED........hebu itafute utaielewa zaidi konnie
   
 5. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #5
  Mar 25, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145

  Mahusiano ya "No strings attached" yako hivi ....

  1. Mapenzi yasiyo na commitment
  2. Mahusiano yasiyo na conditions or contractual requirements.
  3. Where two people decide to engage in a sexual relationship that has no ties or expectation with regards to finances, exclusivity or romance. Literally, there are no strings binding the two together

  "Sex partner", mara nyingi ni bussiness oriented, nafikiri hapa lazima pesa itakutoka so kwa kiasi fulani kuna commitment fulani ....
  But sometimes watu hutumia haya maneno interchangeably.

  Huko kote nako tulipita tukaona hakuna maana Bwn Kongosho, wee mng'ang'anie na kum-customize huyo uliyenaye aendane na requirements zako ...

  Samahani sana!
   
 6. Neiwa

  Neiwa JF-Expert Member

  #6
  Mar 25, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 730
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  No strings attached ni Mahusiano ambayo ni mazuri mno. Kila mmoja anashika zake,
  mahusiano yenu ni sex tu. Tatizo huja pale mafilingi yanapo ota mtu lazima aumizwe.
   
 7. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #7
  Mar 25, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  naamini wakati mwingine hili neno linatumika vibaya ili watu wajipooze
   
 8. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #8
  Mar 25, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  kwa vile hakuna exclusivity, ina maana mtu anaweza kuwa na mahusiano kibao ya namna hii siyo? if that is true, then the whole business is very risky
   
 9. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #9
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  hakuna wivu? Hakuna kuulizana wewe uko na nani?

   
 10. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #10
  Mar 25, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  umeonaa ndio maana nimesema wakati mwingine watu wanalitumia kujipooza.......labda uwe kiumbe wa ajabu sana ambae huchagua wala hubagui.
   
 11. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #11
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  @horsepower, inakuwaje ukimkuta yuko busy na mtu mwingine?
  Hutakiwi kujali kabisa?

  Na je inawezekana?
   
 12. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #12
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  utaachaje kuchagua wala kubagua na hali mtu wamvulia nguo?

   
 13. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #13
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  achilia mbali risk ya kiafya, moyo unaweza hili??

  Leo mko wote, kesho yuko busy na mwingine na hutakiwi kuuliza.

   
 14. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #14
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  nitaitafuta nione kama itasaidia kuelewa hii dhana.

  Asante.
   
 15. Neiwa

  Neiwa JF-Expert Member

  #15
  Mar 25, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 730
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45

  hii hufanikiwa pale wahusika wapo busy na nafasi yao ya dating ni finyu. juu ya hapo iwe kua
  mwanamke ambao mara nyingi ndio wenye mioyo mwepesi awe katendwa weee hadi hana hamu tena
  ya mahusiano ila ana mahitaji ya mwili. lla from no where unajiingiza katika mahusiano ya hivo? No way!
   
 16. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #16
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  unaruhusiwa kuwa na 'no strings attached' partners zaidi ya mmoja?

  Na ruksa wao kufahamiana?
  Na wakifahamiana hawakusulubu kuwa unawacheat?

   
 17. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #17
  Mar 25, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  ndio maana nasema sio rahisi kihivo kongosho labda wengi hatuelewi maana ya neno lenyewe ingekuwa ni kitu rahisi watu wangekuwa wanawaonyesha wazi especial kama mtu wamvulia nguo inaweza ambatana na mengi zaidi ya kuvua nguo tu.
   
 18. Neiwa

  Neiwa JF-Expert Member

  #18
  Mar 25, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 730
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Ikiwa no strings attached ina mana hauko tayari kwa mahusiano yalo serious ama mmoja wenu ndiio hayupo tayari. Inapotokea mpo katika hayo mahusiano na tena ukawa na mahusiano mengine ina mana aidha unapenda
  sana ngono au ulie nae katika mahusiano wamuhitaji nje ya tendo la ngono, maybe becoz hakuridhishi
  na huyu huku ndio akuridhisha ki ngono. Ni marufuku hata watu kujua kua mna mahusiano
  let alone ulo nae katika mahusiano ikiwa no strings attached.
   
 19. a

  asakuta same JF-Expert Member

  #19
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 15,065
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 0
  that is exactly what is supoz to be kwa jina lingine inaitwa open r/ship.
   
 20. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #20
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  duh, mfano nina 'no strings' mmoja.

  Afu nikawa mahali na mtu mwingine.
  Bahati mbaya akanikuta hiyo sehemu. Siku nikikutana naye in private ana haki ya kuniuliza kuwa niliyekuwa naye ni nani?

   
Loading...