Duh, eti 'No strings attached'??!!! Ya kweli haya!

unaruhusiwa kuwa na 'no strings attached' partners zaidi ya mmoja?

Na ruksa wao kufahamiana?
Na wakifahamiana hawakusulubu kuwa unawacheat?
kwenye no string attached hilo neno kucheat halipo ,kwasababu hakuna mtu mwenye hati miliki ya mwingine ....hapo watu wapo free ,they are just together to have funny.
 
achilia mbali risk ya kiafya, moyo unaweza hili??

Leo mko wote, kesho yuko busy na mwingine na hutakiwi kuuliza.
hapo moyo kuuma ni ikitokea sasa umeanza kudevelop feelings to each other.
kwasababu wengi wanaokimbilia kwenye no string attached ni kwenye kukwepa kuumia kwny blah blah za love na r/shp yny commitment
 
duh si mchezo mambo ya mahusiano magumu sana.....ina maana hii inaitwaje sasa asakute same,kushare kwa afya ama.
kwenye no string attached hilo neno kucheat halipo ,kwasababu hakuna mtu mwenye hati miliki ya mwingine ....hapo watu wapo free ,they are just together to have funny.
 
duh, mfano nina 'no strings' mmoja.

Afu nikawa mahali na mtu mwingine.
Bahati mbaya akanikuta hiyo sehemu. Siku nikikutana naye in private ana haki ya kuniuliza kuwa niliyekuwa naye ni nani?

Kwanza inabidi hata ajifanye kasahau alikuona pale. Hayamuhusu!
 
ha ha ha, kushare kwa afya?
Au kushare kwa magonjwa?

Dah, nadhani nimezidi kuwa confused.

duh si mchezo mambo ya mahusiano magumu sana.....ina maana hii inaitwaje sasa asakute same,kushare kwa afya ama.
 
inawezekana kweli?
Katika uhalisia wa maisha?

Labda, kuna muda specific wa mahusiano ya aina hii?
Maana nahisi mkimaliza mwaka lazima kuna kitu kitaanza kuwepo, inakuwaje?

kwenye no string attached hilo neno kucheat halipo ,kwasababu hakuna mtu mwenye hati miliki ya mwingine ....hapo watu wapo free ,they are just together to have funny.
 
inawezekana kweli?
Katika uhalisia wa maisha?

Labda, kuna muda specific wa mahusiano ya aina hii?
Maana nahisi mkimaliza mwaka lazima kuna kitu kitaanza kuwepo, inakuwaje?
inawezekana sana kongosho (kwani wale nyumba ndogo wanaweza vp kuwa nyumba ndogo huku wakijua nyumbakubwa zipo?)
kitu kikianza kuwepo hapo sasa inapoteza maana ya no string attached(of which z no feelings ,no commitment)
 
it's possible, especially when neither partner is interested in commitment, you just remain f..k buddies,kuhusu health risk it's obvious if you are f buddies you have to always protect yourself. Moyo hauumi kwa sababu mmekubaliana hivyo kwa hiyo hata akiwa na mtu ukajua haiumi kabisaaaa.
 
hahahaaaa lol naomba kuuliza na mnisaidie ivi kuna utamu usiouma au ni akili zetu za mbayuwayu tunazojivika!!!!!!!!

kwa kuyatamka yapo lakini in reality hayapo.....

Hata kama hamna committment binadamu tunavyopenda 'umiliki' weee strings zitajiattach tu!!!!!!!!
 
wee labda zako za kyunguru, hazichanganyiki kabisa na za wengine.

Ila hata mie.

hahahaaaa lol naomba kuuliza na mnisaidie ivi kuna utamu usiouma au ni akili zetu za mbayuwayu tunazojivika!!!!!!!!
 
huoni kuna tofauti kati ya siku mnapokubaliana na kadiri siku zinavyokwenda?

Labda, niulize, mnakutana mara ngapi kwa mwezi, roughly.

Back
Top Bottom