Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,065
- 136,424
Safari hii yawezekana kabisa kuwa Trump kayakanyaga.
Hii vita inaanza kuonekana kwenda vile labda ambavyo hawakutarajia.
Tayari wanajeshi wa Marekani washakufa na huenda wakaendelea kufa.
Marekani ishapoteza ndege kadhaa. Wao Marekani wanadai zimetunguliwa na Kuwait kwa bahati mbaya lakini Iran wanadai wameitungua walau ndege moja.
Hapo sijui nani anasema ukweli maana wote huwa wanadanganya.
Haya, leo nimeamka naenda zangu kubeba boksi nakuta bei ya mafuta, Regular Unleaded ni zaidi ya dola 3 kwa galoni moja.
Jana na juzi bei ilikuwa ni chini ya dola 3!
Wanasiasa ni watu wa hovyo sana na wengi wao huwa wana asili ya kusema uongo.
Huyu Trump alijinadi kuwa ni mtu asiyeanzisha vita.
Ona sasa alivyofanya.
Republicans wanaenda kutandikwa vibaya kwenye midterms……