Duh! Bei ya mafuta yapanda nchini Marekani!

Duh! Bei ya mafuta yapanda nchini Marekani!

Ndio punguza mapenzi kwenye mada km hizi don't be too emotional sababu ishatokea huwezi kurudisha mshale wa saa nyuma haiwezekani muda ushavuka pale hisia zako weka pembeni kubari kilichopo endelea na kilichopo maana hata ukilaumu unaemlaumu hawezi kukuelewa punguza hisia usilie kwa sauti lia kimya kimya kuna mtu anapasuliwa jipu huko maumivu hayawezi kua upande wako sababu wewe jipu sio lako
Naona una limited vocabulary!

Toka lini mtu kutoa maoni yake ni kuwa emotional?

Unatumia tu maneno wala hujui maana yake.

Inawezekana unafanya projection…..na hapa sidhani hata kama utaelewa nazungumzia nini.
 
Hata kama ungekuwa ni wewe wadau wameachia part one ya epstein files kuonesha wana mafiles yote then jews wanakuambia fanya hichi lasivyo tutafabya hivi utafanya nini?..

Trumps kawa blackmailed na jews
Kwanini asiwaue hao Jewish!? Ili awe salama !?
 
Nyumbu unachekesha sana,jana tu ulikuwa unashangilia khamenei kuuwawa,ukamsifia trump,leo umebadilika na kumlaumu trump...fala wewe
 
Marais wa Republican ni warmongers, Trump ni zaidi ya warmonger, ni mwehu ambaye yuko tayari kufanya jambo lolote kwa maslahi yake binafsi au kisasi dhidi ya wapinzani wake
Ila kipindi anasinda uchaguzi awamu ya pili ulisema kabisa kuwa huyu jamaa ni kichaa na atakuja kuivuruga dunia watu wakakubishia na mm nikiwemo sasa yametimia.
Mm huwa sikubaliani na ww kwenye mambo mengi lakini kwa hili nakubaliana na ww.
Na ukichaa wake nilianza kuuona pale alipo anza kupandisha ushuru wa bidhaa kutoka nchi zote duniani bila kujali ni nchi maadui au nchi marafiki.
 
Naonaga US hujivunia kuwa na mafuta ya kutosha. Lakini hapo hapo wanateseka na bei.

Wadau hebu mnielezee vizuri nielewe
 
Mwanasiasa yeyote ambaye anawaona raia wanaompinga, wasiomtaka au kumkubali kama maadui na wasaliti lazima huwa ni wa hovyo tu.

Alivyohamasisha wafuasi wake kuvamia bunge kupinga kuthibitishwa matokeo ya uchaguzi katika uchaguzi ambao vyombo vyote hadi vinavyoongozwa na Republicans wenzake vimesema haukuwa na shida ndio niliamini huyo jamaa ni mwendawazimu kabisa.
 
Hata kama ungekuwa ni wewe wadau wameachia part one ya epstein files kuonesha wana mafiles yote then jews wanakuambia fanya hichi lasivyo tutafabya hivi utafanya nini?..

Trumps kawa blackmailed na jews
Speculations tu!
 
Hyo mbona ndogo.
JIULIZE ni hasara ngapi wanapata Kwa kufungwa ANGA na bahari?
Sasa hivi tutaanza kusikia vilio
 
Trump alishasema we are going to bomb the s#it out of them
1000114733.jpg
 
Nyumbu unachekesha sana,jana tu ulikuwa unashangilia khamenei kuuwawa,ukamsifia trump,leo umebadilika na kumlaumu trump...fala wewe
Khamenei ni muuaji. Sijasikitika yeye kufa.

Kwa wakati huohuo, nina uwezo mzuri tu wa ku navigate nuance kwenye mambo yaliyo changamani.

Na wala sijamlaumu popote Trump. Nime observe tu kinachoendelea.

Kwa akili zako chache unaona nimemlaumu Trump.

Kwani kama nimefurahia kifo cha muuaji Ayatollah, siwezi kumkosoa Trump kwenye jambo ambalo naona si sawa?

Unlike you, I don’t live in a silo of dichotomous thinking.

You are a low information, low intelligence nincompoop.

Not on my level.

Deuces.
 
Naonaga US hujivunia kuwa na mafuta ya kutosha. Lakini hapo hapo wanateseka na bei.

Wadau hebu mnielezee vizuri nielewe
Hata Tanzania kuna chakula cha kutosha ila kuna wakati watu huwa wanateseka na bei za vyakula.
 
  • Thanks
Reactions: Lax
labda kwa wamarekani lkn kidunia D.Trump kafanya jambo la maana sana kumuondoa dictator khamein na hata tanzagiza itanufaika sana na kuuliwa kwa ayatola na pia mwisho wa evil regime of islamic republic of iran, islamic republic regime imekuwa ikihusika kwenye distabilization ya nchi nyingi ikiwemo yetu, kuanguka kwa islamic republic kutaleta mapinduzi pia tanzagiza hata kama ni ngumu kwa watu kuona connection ya islamic republic na regime ya tanzagiza, lkn ipo.

D.Trump has my support on this hata kama itamgharimu kisiasa lkn atakuwa kajitokea kuikoa dunia na sisi tukiwemo.

God bless D.Trump …
 
Nyumbu unachekesha sana,jana tu ulikuwa unashangilia khamenei kuuwawa,ukamsifia trump,leo umebadilika na kumlaumu trump...fala wewe
Huyu jamaa Huwa anaacha hoi sana kama ndumi la kuwili
 
Iran kitu pekee atanifurahisha ni kutupa surprise atume vimondo Washington Na New York city. Akifanya hivyo dunia italipuka kwa furaha Sana.

Kwa sasa bado naona yupo ndani ya mfumo wa USA
Ngoma ngumu hii Marekani mwenyewe kasema leo anahisi vita vitachukua wiki nne mbele,

kwa tathmin ndogo tu nikupe Hezbollah ni kikundi tu lakini mwaka wa pili huu israel anahaha nacho,

Mfano mwingne Ukraine ilikuwa inaonekana ni nchi duni kiitelijensia ya vita ila tunaelekea mwaka wa 4 kama sikosei vita havijaisha,

sasa tukija kwa iran ambaye alikuwa anatengeneza drone 200 kwa siku....aisee sioni hivi vita vikiisha leo au kesho wenyewe wanakwambia wana Mabomu ya kupigana kwa miaka 10+,

Na kingine Iran anakwambia hayo makombora yanayotumika sasa ni stock ya zamani bado mzigo mpya upo kwenye foil ni suala la muda tu watu wataomba kikao na kujadili wakiwa na Bandeji vichwani.
 
Back
Top Bottom