Dudubaya ni ngangaripoa?

Mshana kwani na we umetoka kwenye ile list ya tatu?
Hebu soma mada uielewe na muktadha wake... Kutajwa na jambo moja na kuthibitisha ni jambo lingine
 
Mshana kwani na we umetoka kwenye ile list ya tatu?
Hebu soma mada uielewe na muktadha wake... Kutajwa na jambo moja na kuthibitisha ni jambo lingine
 
Dddah..umenikumbusha jamaa waliopandaga jukwaani pale Mwembeyanga na kutoa list fulani..
 
Dah absolutely.nakukuelewa mkubwa.
 
Watu wanakomaa na huu uzi coz wewe unapotosha jamii,unataka tukuache tuu uendelee kupotosha? Jifikirishe japo kidogo we jamaa!!
 
Nililitegemea hili lakini kumbuka hapa ni sehemu ya mijadala... Na nimeandika background ya mhusika tangu kitambo, ugomvi wake wa kila mara, vijembe na mipasho isiyoisha... Kama unafikiri kakurupuka tu kusemasema basi una safari ndefu...
kitumbo
 
umejishushia heshima sana kwenye haka ka thread kako, ulichokikataa kwa konk konk konk master, na wewe ndicho ulichokifanya. long maisha konk
Sikulaumu kwa kufuata mkumbo... Heshima yangu haijashuka bali imepanda... Tayari serikali imejitenga na habari yote...
Pamoja na kwamba siungi mkono tamko la serikali lenye kila dalili za woga lakini kwangu tamko hilo ni ushindi dhidi yenu, bashite na Godfrey
Next time msiongozwe na mihemko mkadhani tunajiandikia tuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…